Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

Kwahiyo?
Kama Mbowe vile, shabiki kindakindaki wa jangwani.
Screenshot_20200308-192627.jpeg


In God we Trust
 
Kwa sisi wacha Mungu tunaamini kuwa ushindi wa Yanga dhidi ya Simba ni "triumph of good over evil"!

Nguvu ya ziada ilitumiwa na vyombo vya dola kumnyanyasa mfadhili wa Yanga Mr Manji ili kuhakikisha Yanga inayumba.
 
si amevaa mseto, hata simba wangeshinda basi angeshangilia
 
Back
Top Bottom