Rais Magufuli ashinda tuzo za the prestigious awards kuw kiongozi bora africa

Rais Magufuli ashinda tuzo za the prestigious awards kuw kiongozi bora africa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Da1inRXXUAICfc0.jpg

Mambo yanazidi kuwa moto.
 
Kwikwikwikwikwi unachekesha sana wewe. Na imwezekana unasumbuka sana. Wewe dotcom wapi wakati ni mshamba fulani hujui hata dunia inaendaje.
Hebu tulinganishe mimi na wewe, tujue mshamba ni nani? Inamaana baada ya Kupewa hio zawadi alikupa wewe umuwekee mitandaoni?
Wewe unaijuaLeadership nini?
Certificate yoyote inakuwa na
1) Muhuri wa Organization iliyotoa
2. Signature
3. Tarehe iliyotolewa
Cheti kama hicho hata mimi naweza kutengeneza
 
Utaumia sana. Sijui unajua hata maana ya Mhuri. Roho ya korosho na ushamba umekujaa.
Mcheki Monalisa amekumbatia Ward yake.

Mawe gani sasa. Mbona hakuna hata jiwe lolote. Dogo mimi nipo vizuri sana.
Nipo kwenye international level. Naweza kusepa na mtaa wenu.
Taratibu mkuu usituchukulie mbagala yetu,sisi ukawa!
 
Back
Top Bottom