Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #41
Ikulu imetoa taarifa mchana leo kupitia Gerson Msigwa kwamba haina taarifa yoyote ya hii Tuzo..
Amesema utaratibu ni kwamba Ikulu ingepewa taarifa prior.
Jaribu kujiongeza kidogo na uache kujidhalilisha ndugu kwa hizi facts hapa chini:
Tuzo ya Heshima ya Kimataifa ya Rais wa Nchi ipokelewe na MONALISA wa Bongo Movie?
Pale Accra kuna Balozi kwanini asiipokee kwa niaba ya Rais?
Tuzo ya Rais na picha ya shati la Kampeni ya CCM?
Hongera kwa kukurupuka UVCCM..
SHAME.
Msemaji Mkuu wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) | Twitter