Ikulu imetoa taarifa mchana leo kupitia Gerson Msigwa kwamba haina taarifa yoyote ya hii Tuzo..
Amesema utaratibu ni kwamba Ikulu ingepewa taarifa prior.
Jaribu kujiongeza kidogo na uache kujidhalilisha ndugu kwa hizi facts hapa chini:
Tuzo ya Heshima ya Kimataifa ya Rais wa Nchi ipokelewe na MONALISA wa Bongo Movie?
Pale Accra kuna Balozi kwanini asiipokee kwa niaba ya Rais?
Tuzo ya Rais na picha ya shati la Kampeni ya CCM?
Hongera kwa kukurupuka UVCCM..
SHAME.
Yeye na mimi pamoja na wazalendo wengineUnaposema tunataka' unamaanisha wewe na nani?
'
Gerson Msigwa: Ikulu haina taarifa juu ya tuzo aliyoshinda Rais John Magufuli nchini GhanaThibitisha kama kweli wewe ni mzalendo. Mzalendo gani anakurupuka tu bila hata kuchunguza na kuanza kutoa matusi.
Mzalendo anajiheshimu anaheshimu wakubwa.
Kha!! wewe umeleta link ya JF nimekuwekea Link toka kwa msemaji wa Serikali.
Hahaha..Hii ni twitter rasmi ya msemaji mkuu wa serikali. Msemaji mkuu wa Serikali na wewe ni nani mwenye taarifa za uhakika?
Mimi na watu wasiojulikana.Unaposema tunataka' unamaanisha wewe na nani?
'
Wacha wivu wewe, si umtengenezee wa kwenu basis.Hebu tulinganishe mimi na wewe, tujue mshamba ni nani? Inamaana baada ya Kupewa hio zawadi alikupa wewe umuwekee mitandaoni?
Wewe unaijuaLeadership nini?
Certificate yoyote inakuwa na
1) Muhuri wa Organization iliyotoa
2. Signature
3. Tarehe iliyotolewa
Cheti kama hicho hata mimi naweza kutengeneza
Hiki ni cha kike.. Ni akina nani hawa wanaopenda kumdhalilisha huyu mjamaa kila wakati?
Mambo yanazidi kuwa moto.
Tanzanian are so hapy??? Ushizi gaini huuz kwa mablogger kulipa dola 900?Hii imechukuliwa kwa simu.
What are the names of those prestigious awards and who is awarding him?
Is it just a play with the fancy words you recently acquired?