Hilo unalolisema ni kweli kabisa, Watanzania hatuna uchungu na mali za umma na kwa kulifahamu hilo inatakiwa kuwe na utaratibu wa kubaini wahusika ili waadhibiwe. Kuwe na tiketi zinazoweza kuhifadhi taarifa za mtu anayeikata na pia kuwe na kamera za kutosha ili kurekodi matukio yanayoendelea pale uwanjani.Mkuu hapo hamna cha kujikwaa wabongo wengi ni wapuuzi sana haswa linapokuja suala utunzaji mali za uma. Refa kuharibu mchezo halina uhusiano na viti. Refa atahukumiwa na wahusika baada ya mchezo. Nakumbuka siku ya ufunguzi ya ule uwanja watu waliiba koki vyooni. Sasa kama hapo utasema bahati mbaya
Tutaona!! Usipotumika na simba au chura Unadhani nani atatumia
Kama Kahisi Kung'oa Viti Ndiyo Tatizo!! Basi Kwenye Kiwanja Chengine Refa Akituletea Utumbo Kama Wa Jana, Uwanja Tunaupiga Matuta Wote Halafu Tunaoondoka Na Magoli!!
Hatutaki Ujinga Wa Kununua Marefa sisi.
Sawa tu maana sifaidiki na chochote
Baada ya Uharibifu mkubwa wa Viti vya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam uliokuwa unafanywa mara kwa mara na Mashabiki wanaoongozwa kwa Mihemko, Hasira na Matumizi yatokanayo na vilevi vikali kama Bange, Mirungi, Viloba n.k yaani Mashabiki wa Simba SC kwa nyakati Tofauti Tofauti umesababisha wizara husika kupitia waziri Nape Nnauye kupiga Marufuku klabu za Simba SC na YANGA SC kutumia uwanja huo kwa mechi za LigiKuu kuanzia hivi leo.
Wapuuzi sana hawa Mashabiki wa Simba aisee! Sijui waling'oa viti kumkomoa Yanga, TFF au Serikali?wakati wanajenga wachina taifa kwa billioni 60, Nigeria, wajerumani walikuwa wanajenga uwanja kwa shilingi billion 600 za ki tz! wapelekwe simba na yanga huko tuone kama wata ng'oa vitu! cheap is expensive
Usijali mkuu! Sisi kama Mabingwa mara 2 mfululizo, Mabingwa watetezi, Mabingwa mara 26 wa kihistoria yaani Dar es Salaam Young Africans SC tumepatiwa ekari 715 huko uzunguni.........Kwanza timu zijenge viwanja vyao, klabu zina karibu karne zimejiimarisha kwenye majungu na ndumba tu
Tutaona!! Usipotumika na simba au chura Unadhani nani atatumia
Wapuuzi sana hawa Mashabiki wa Simba aisee! Sijui waling'oa viti kumkomoa Yanga, TFF au Serikali?
Wacha waufungie maana baadhi yetu Watanzania tuna upumbavu mwingi
Sio suluhu!Safi sana yafaa tujifunze ustarabu
Duuh hapo itabidi waende uhuru ambako pitch yake ni mbovu sana ile.
Na vilabu vyetu vipate akili vijenge viwanja zao sasa naamini ule ungekuwa uwanja wa simba ingekuwa ni ngum washabiki kung'oa viti hata kama wana hasira kias gani