Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe fundisho kwa TFF ikome michezo ya kupanga matokeo.Alichonifurahisha nape kuwapiga simba na yanga kutumia uwanja huo naona kama anamsusia boss mshahara maana bila timu hizo tff haina mapato
ni kweli kabisa vile viti vilishuka vyenyewe kutoka jukwaaniLakini kiukweli vile viti vingi vilikwisha haribika kabla ya mechi ya jana, vingi vilikuwa vimekati kwenye kona
Lakini kiukweli vile viti vingi vilikwisha haribika kabla ya mechi ya jana, vingi vilikuwa vimekati kwenye kona
Mageti ya kuingilia Uwanjani kabla ya Pambano yalivunjwa na Mashabiki wote na Mh. Rais kamuagiza Nape asitoe Cent moja mpaka ifidiwe gharama zote za Uharibifu.
ni kweli kabisa vile viti vilishuka vyenyewe kutoka jukwaani
(tusitetee maovu)
Ndiyo hivyo ni askari magereza yule anafanyia kazi mkoani Morogoro.Askari mbona aliangushwa kizembe vile
Kwani hukuona fujo za jezi za njano kuharibu mageti??Nape unatakiwa kutoa maamuzi ya haki na sio ushabiki. Unapozuia mapato ya Yanga kwa sababu zipi!!! Unapo generalise kuwazuia Simba na Yanga kwa makosa ya mashabiki wa Simba sio tu unaonyesha ushabiki wako Simba bali chuki yako dhidi ya Yanga. Acha TFF watumie kanuni zao zilizopo. Kama NAPE ataendelea kuwaadhibu Wana Yanga kwa kosa la Wan Simba. Naomba viongozi wa Yanga watangaze kwa wana yanga nchi nzima kuwa NAPE NI ADUI NAMBA MOJA WA YANGA. Yeye NAPE asipotezee matatizo yaliyojitokeza kwa kushindwa kwa mitambo ya elektroniki kufanya kazi siku ya mechi.
Ni kweli mkuuLengo langu siyo kutetea kiti original kikifungwa huwezi kukin'goa kirahisi labda uwe na spana tatizo viti vile ni feki
....................na sisi tutamtangaza Mwigulu kuwa adui yetu Namba 0 yaani ni hatari kuliko hatari yenyewe.Nape unatakiwa kutoa maamuzi ya haki na sio ushabiki. Unapozuia mapato ya Yanga kwa sababu zipi!!! Unapo generalise kuwazuia Simba na Yanga kwa makosa ya mashabiki wa Simba sio tu unaonyesha ushabiki wako Simba bali chuki yako dhidi ya Yanga. Acha TFF watumie kanuni zao zilizopo. Kama NAPE ataendelea kuwaadhibu Wana Yanga kwa kosa la Wan Simba. Naomba viongozi wa Yanga watangaze kwa wana yanga nchi nzima kuwa NAPE NI ADUI NAMBA MOJA WA YANGA. Yeye NAPE asipotezee matatizo yaliyojitokeza kwa kushindwa kwa mitambo ya elektroniki kufanya kazi siku ya mechi.
Nyiendiootunawatakaa afandee Nanii atusaidie uchunguzi huyuLakini kiukweli vile viti vingi vilikwisha haribika kabla ya mechi ya jana, vingi vilikuwa vimekati kwenye kona
Yaani hakuna kitu mkuu. Wachezaji wenyewe viwango duni, hawajielewi na viongozi ndio hovyo kabisa.Hivi hapo Tanzania kuna mpira gani wa kupigania? Njaa tupu.
Kama kuna mpira mbona timu hazifikiki mbali kimataifa?
Umeonyesha hisia zako, ila hujaongea kisoka, timu kama timu haina tatizo ispokua mashabiki wake, na mashabiki sio wanaendesha timu.Hii timu ikiwezekana ifutwe maana inaonekana kuwa sio raia wa Tanzana kwani sijawawi kuona upuuzi kama huu bongo. Mona wenzo hawavunja viti? ilitokea tena wakati TP MAZEMBE walipokuja wakanunua jezi zao wakaingia na kufanya fujo kama hizi !!!!!!!!!!!!!!!!!!!ifutwe tuu sasa maana hatuna jinsi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!