Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Haya tunamkaribisha aje tu, pia mumkumbushie amtembelee Tundu Lissu na kumjulia hali, hata hivyo nitashangaa sana kama kuna Mkenya anamsubiria rais yeyote kwa hamu, yaani ina maana siku hizi tumekua malofa kiasi hiki. Halafu hilo la rais Uhuru kutembea kwa miguu, sijaelewa mnaposema ameiga kutoka kwa Magufuli, wakati sisi tumemzoea kama rais ambaye hufanya yote.

Hayo ya kushtukiza shtukiza watu kwenye maofisi yao hayaongezi ufanisi ila kujenga hofu tu, unafaa uwe na uwezo wa kukusanya taarifa za utendaji kwenye kila nyanja bila ya wewe kuwavizia vizia ndani ya ofisi zao.

Hebu angalia hapa baadhi ya picha za rais Uhuru.

797263.jpg

uhuru_meat.jpg

uhuru-nyama.jpg

0fgjhs771rp55rein.a8bcaecb.jpg

maxresdefault.jpg

10.png

12970803_617580601726212_2581257943148753292_o.jpg

ef103ba46a3f259a7dca91c556f14fc8.jpg

Csx38EHXgAEC-Yt.jpg

1503420.jpg

u1.jpg

thumbnail.php
nimependa hiyo anaDrive a car...sijui alikua anaenda wapi!
sizonje anajua kuendesha gari kweli....nauliza tu?
 
toka nianze kuona post zako yaani wewe ni kilaza wa mwisho unawazaga upumbavu tuu kujiridhisha na nafsi yako yaani matoto ya nje ya ndoa haya yanataabu kweli kweli
Kama wewe

Swissme
 
Ukiletewa source ya Kenya, unakataa unataka iwe imetoka mount Kenya, ukiletewa toka kwa mabanwa zenu wazungu mnaowalamba matako, unageuka tena, hizo ni nyege au?
Kwa hivyo ninaposema Tz ni LDC na source yake ni hao hapo wazungu nitakuwa nipo sahihi?...hahahaha you got memory comparable to that of a goldfish or that of a warthog.
 
Mheshimiwa Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi raia wa Kenya wanapenda sana kumuona.
Kwa kipindi cha miaka 2 ya utawala wake nchini Tanzania wakenya wengi sana wamependa sana jinsi anavyopambana na Ufisadi.
Rais Uhuru Kenyatta majuzi alianza kufanya kazi kwa mtindo alioanza nao Rais Magufuli kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu mpaka Wizara ya Fedha . Changamoto kubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka huu ilikuwa Ufisadi.
ili kumshangaa....!
 
Kipaumbele cha wakenya ni democracy na utawala wa sheria na katiba. Hivi vitu ni muhimu zaidi ya ufisadi.
 
Kwa hivyo ninaposema Tz ni LDC na source yake ni hao hapo wazungu nitakuwa nipo sahihi?...hahahaha you got memory comparable to that of a goldfish or that of a warthog.
Yes upo sahihi sana tu,Tanzania ni LCD hakuna anayepinga, source hizo hizo ndizo zinazosema kwamba Kenyans are very poor, kwamba Kenya na Somalia na South Sudan zipo kundi moja la nchi zenye njaa kali, kwamba uchumi wa Kenya unakaribia ku collapse kwa sababu ya madeni, kwahiyo usipinge wala kujitetea kwa sababu ni the same sources zinazosema Tanzania ni LDC...ninakushukuru kwa kukubaliana na ukweli huu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Profesa aliyeunga mkono upande uloshindwa kwenye uchaguzi hapa Kenya, hapo kweli. Alitumia uprofesa wake kufanyia vile vifaranga uhuni ule? Siasa za peni moja unusu hizo.
Mtu mjinga utamjua tu. Hivi ulimsikia lini magufuli akimuunga mkono rail. Hawa ni marafiki tu na wala rais wetu hajajiingiza kwenye siasa za kenua. Kuna watu wajinga flan walienda hadi kwenye kampeni kenya. Hawa ndo walipaswa kulaumiwa na kudharauliwa. Sio rais wetu. He is a man and not like you.
 
Yes upo sahihi sana tu,Tanzania ni LCD hakuna anayepinga, source hizo hizo ndizo zinazosema kwamba Kenyans are very poor, kwamba Kenya na Somalia na South Sudan zipo kundi moja la nchi zenye njaa kali, kwamba uchumi wa Kenya unakaribia ku collapse kwa sababu ya madeni, kwahiyo usipinge wala kujitetea kwa sababu ni the same sources zinazosema Tanzania ni LDC...ninakushukuru kwa kukubaliana na ukweli huu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unakaribia Ku collapse ni Tofauti na Ku collapse, Ok my brother?
 
Unakaribia Ku collapse ni Tofauti na Ku collapse, Ok my brother?
Ni kweli, leo upo vizuri sana, uchumi wa Kenya unakaribia ku collapse, ila haujacollapse bado, hayo mengine ya poverty, hunger, na kuwa kundi moja na South Sudan, Somalia kama nchi zenye njaa kali zilizoshindwa kuwalisha wananchi wake hadi kutegemea food donations, hapo sidhani kama unahitaji kurekebisha lolote, kwasababu ni the same sources zilizoitaja Tanzania kuwa LDC[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hebu onyesha hizo food donations.
 
Hapa JF sijaona mkenya anayemtambua magufuri so sioni vipi wewe mtanzania unaweza sema kwa uhakika kuwa raisi wenu anatambulika na Wakenya. Wengi hapa Kenya wanafikiri Kikwete ndiye rais huko bongo.

duuu kuna wakenya bado wanadhani bado Kikwete ndo Rais.
haya bana mido income.
 
duuu kuna wakenya bado wanadhani bado Kikwete ndo Rais.
haya bana mido income.
They lack interest in anything Tanganyikan it's akin to the likes of you being interested in anything Mauraitanian. Do you know the capital of Mauritania is Naouktchot and their president is Muhamed Ould Abdel Aziz?
 
mimi najua mpaka issue za Kyrgyzstan mpaka Laos.
lkn, duuu if you don't know what is happening the next door kuna shida.
 
Sio watu wa Kenya tuu hata mimi mtanzania nataman aende, kwa ufaham wangu mdogo naamn ataandelea kudumisha ujilan mwema
 
They lack interest in anything Tanganyikan it's akin to the likes of you being interested in anything Mauraitanian. Do you know the capital of Mauritania is Naouktchot and their president is Muhamed Ould Abdel Aziz?

Hehehe by the way try a bar discussion about Tanzania in kenya, guys will just get bored immediately. But go to those things they call vijiwe in Tz, you will be shocked by number of times Kenya will be mentioned.
I used to listen to them silently without revealing my nationality. Very hilarious comments, but I was shocked and surprised by some who happened to know so much about Kenya than even me.

Imagine foreigners discussing about leadership of say Nandi county.
 
Kenya was currently trending in tz social media or forums coz of your ridiculous election. otherwise no one is taking trouble to yap about Kenya.
 
Back
Top Bottom