Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
nimependa hiyo anaDrive a car...sijui alikua anaenda wapi!Haya tunamkaribisha aje tu, pia mumkumbushie amtembelee Tundu Lissu na kumjulia hali, hata hivyo nitashangaa sana kama kuna Mkenya anamsubiria rais yeyote kwa hamu, yaani ina maana siku hizi tumekua malofa kiasi hiki. Halafu hilo la rais Uhuru kutembea kwa miguu, sijaelewa mnaposema ameiga kutoka kwa Magufuli, wakati sisi tumemzoea kama rais ambaye hufanya yote.
Hayo ya kushtukiza shtukiza watu kwenye maofisi yao hayaongezi ufanisi ila kujenga hofu tu, unafaa uwe na uwezo wa kukusanya taarifa za utendaji kwenye kila nyanja bila ya wewe kuwavizia vizia ndani ya ofisi zao.
Hebu angalia hapa baadhi ya picha za rais Uhuru.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sizonje anajua kuendesha gari kweli....nauliza tu?