Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.
Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo wa subira na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
- Breaking News: - Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia