Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

Maalim alijitangaza mwenyewe kwamba anaumwa corona..Sijui JPMpiana na wenzake wanajisikiaje
 
Kama nchi hatuko serious kupambana na hili tatizo! Ni kwa ujasiri upi tulio nao hadi viongozi wakuu wako kwenye mikusanyiko bila kuchukua tahadhari? Are we really serious?
Tumeambiwa tuwe wazalendo mkuu.Inasikitisha while time flies
 
Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.

Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo wa subira na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.

- Breaking News: - Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Anasemaje. Kuhusu corona?
Ipo au haipo?
 
Back
Top Bottom