Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
🤣🤣🤣Gogoki anasema ngoja wamalize kwanza msiba.
Tafiti zinaonyesha watu wenye roho nzuri.wahaishi zaidi ya miaka 70.watu wazuri wanaondoka haya makatili yanaendelea kubaki
Tafiti zinaonyesha watu wenye roho nzuri.wahaishi zaidi ya miaka 70.
Huku Kimoyomoyo unakuta amefurahia!! Ogopa sana watu wenye roho mbaya.
Inasikitisha sana!!!Kama nchi hatuko serious kupambana na hili tatizo! Ni kwa ujasiri upi tulio nao hadi viongozi wakuu wako kwenye mikusanyiko bila kuchukua tahadhari? Are we really serious?
How old are you??Chadema wanatamani angekuwa kafa wao ili wale michango kama ya msiba wa Ndesamburo.Chadema hapo udenda unawatoka
Kujibizana na huyo Zezeta wa Lumumba ni kujisumbua mkuu.how old are you??
Tunaombolezaje sasa? Ni kwa bendera nusu mlingoti tu au na ofisi za umma zinakuwa likizo ya siku 3?Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.
Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo wa subira na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
- Breaking News: - Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia
Mbona unasoma kama umewekewa heater makalioni?! Wapi kwenye hiyo barua pameandikwa tarehe 21?! Mijitu ya negative minds hovyo kabisa!Tarehe 17- tarehe 21 ni siku tatu ?
Ofisi zinafunguliwa km kawaida, huzuni inaoneshwa kwa kubandikwa picha za huyo Mhusika km kwenye TV au kutangazwa Historia yake, na hii inaoneshwa kwa bendera kupandishwa hadi nusu, baada ya hapo ni ya kale tenaTunaombolezaje sasa? Ni kwa bendera nusu mlingoti tu au na ofisi za umma zinakuwa likizo ya siku 3?
...mchawi huwa hajifichi wenge hiloKumbe hata hawajaenda shule kutoka leo mpaka 21 ni ngapi
Siyo kweli madikteta ndiyo huishi muda mrefuTafiti zinaonyesha watu wenye roho nzuri.wahaishi zaidi ya miaka 70.