Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Dada alikuwa kiherehere sana huyu, alivyokuwa anaitetea ile 25% utafikiri yeye hayuko ktk kundi la wafanyakazi, kazi nyingine ya nn? Angemuacha apambane na kitumbua chake..!! Sheria mbovu na mbaya kama ile alikuwa anaitetea kweli? Ana roho mbaya sana huyu Irene, hana utu hata kidogo kwa wafanyakazi huyu mtu..!! 👹👺👿😠💀
 
Ina maana Irene qenu babe wenu hajui kuwa Magufuli ni Rais, hotuba Nzima anasema ndugu Mwenyekiti. Kweli?

Rais unamuita mwenyekiti.

Kapata muda wa kwenda kurudisha fadhila kule msoga sasa
 
Tukuombee uwe appointed siku moja kwenye nafas km hiyo and then tukuone km utapata nafas ya kupingana na boss wako. Before hili jambo lilitetewa na wote hadi wazir hucka...yeye angefanya nn zaidi ya kukaa upande huo??
Msimuonee huyu mama bwana!
 
Waziri Jenista nae asingetakiwa kuachwa kwa issue kama hii, wote wawili Waziri na Mkurugenzi SSRA walipaswa kuwajibika au kufukuzwa kazi..!! Hii ni issue very very sensitive, inagusa uhai wa wafanyakazi wote nchini..!!
 
Sina hakika hili litaishia kwa huyu mama tu,tusubiri huenda tutasikia. Haiwezekani kuhatarisha kura za kada ya wafanyakaz kwa mzaha kama huu kisha uendelee kuzunguka pale mezani...mimi hata mate sijameza,nasubiri hili kwa kiu kubwa
 
Do you mean she was drunk with success? Or arrogant? Jidu La Mabambasi
I dont think so.
She just did not have the broader view of her decisions.
The mass uproar on workers benefits is a touchy issue, surely she should have reached a consesus with the workers representatives.

Working for the Govt's interests can be rewarding if you serve the Govt's interests well, but in this instance the wananchi revolted, and elections are not too far away.

The mass uproar was of dire political implications, she had to be ditched to save face.
She was the perfect fall guy(fall woman of sorts).
 
Hii ilikuwa kama msemo wa kizaramo ule "Ukichimama nchale...ukikaa nchale" kote alikuwa lazma aumie tu. Anyway bora uumie katika kusimamia usawa utaonekana shujaa ila ukiumia kwa kutetea uovu basi utaonekana shwaini tu.
 
Toka umeanza kusikia mtu kupangiwa kazi nyingine ulishaona kuna mtu amerudishwa kwenye system ikiwa hana shughuli nafasi nyingine labda ubunge au ualimu ama ukuu wa idara?
 
Waziri Jenista nae asingetakiwa kuachwa kwa issue kama hii, wote wawili Waziri na Mkurugenzi SSRA walipaswa kuwajibika au kufukuzwa kazi..!! Hii ni issue very very sensitive, inagusa uhai wa wafanyakazi wote nchini..!!
.....na maelezo yake ya hovyo hovyo utafikiri ana present abstract kwa wanazuoni kumbe anaongelea maisha na jasho la watu!

Niliwahi sema humu, tangu ateuliwe enzi zile...sijawahi ona tija yake zaidi ya kuuza sura.Kama alikua ha perfom enzi za mzee wa msoga zama hizi alitegemea ataendelea kula PAYE zetu? No way!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo huwa ni statement tu kuua soo. Ninawafahamu vigogo watatu “walioenguliwa” kwa gear ya kupangiwa kazi nyingine tangu mwaka jana. Wapo tu wizarani wanasugua benchi huku wakisoma magazeti.
Hahahah ukishasikia hilo ujue habari yako kwisha, halafu kwenye position ya ukurugenzi ukiondolewa maana yake unakuwa huna la kufanya. Labda uwaziri maana ubunge still unakuwa nao.
 
huyu anaponaje wakati ndio alikuwa stelingi wa muvi yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…