Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Dada alikuwa kiherehere sana huyu, alivyokuwa anaitetea ile 25% utafikiri yeye hayuko ktk kundi la wafanyakazi, kazi nyingine ya nn? Angemuacha apambane na kitumbua chake..!! Sheria mbovu na mbaya kama ile alikuwa anaitetea kweli? Ana roho mbaya sana huyu Irene, hana utu hata kidogo kwa wafanyakazi huyu mtu..!! 👹👺👿😠💀