Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Ndio mmebakiza kuwaombea wana ccm wafe ili wakifa wote muingia ikulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki ni kiwango kikubwa mno cha kukata tamaa

Hamna mwenye muda mchafu wa kuwaombea mfe, bali mkifa tunapata raha ya ajabu. Unafikiri kwakuwa nyie mnawauawa wapinzani ili madarakani mnadhani, basi kila mtu ana mtazamo wa mauaji ili akae madarakani?
 
Sasa kama una pata raha mtu akifa unatofauti gani na mtu anaeua?
 
Sipati raha mtu akifa, bali baradhuli yoyote akifa kwangu ni furaha.
 
Kinondoni ifumuliwe yote Hadi Mkuu wa Idara ya Mipango Miji na Mweka Hazina.
Unakumbuka sakata ya idara ya ardhi ilala na kinondoni...wakahamisha wafanyakazi karibu wote
 
Mkurug
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli

Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Mkurugenzi hakuwahi kusikia katazo la boss wake mapema 2016 kuhusiana na bizo beach kwamba ziachwe kwaajili ya watanzania wote matajiri na masikini, majipu mengine ya kujitakia
 
Tumbo ndo Chanzo cha Damu ya binti asiye na hatia
 
Attachments

  • Screenshot_20210217_133338.jpg
    Screenshot_20210217_133338.jpg
    51.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom