Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.Maamuzi mazito Kama Yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake Kama mpira
Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu. Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Hahaaaaaa.............. 😁 😀Kama Lissu anamnyima usingizi sisi tunao, atuache tulale
Arudi sasa tufanye harakati, maana aliwekwa hapo kuzibwa mdomo, mama ana ngenga huyu haipendi CCM toka moyoni mwake.Naona ameamua kurudia fani yake anayoimudu.
Avemaria ni mwanaccm damudamu kabisa. Ni wale ambao wako tayari kuacha kupitia familia wakikimbilia mambo ya chama. Ila ni mkorofi kupindukia. Kuna watu watakuwa wamefurahia sana.Arudi sasa tufanye harakati, maana aliwekwa hapo kuzibwa mdomo, mama ana ngenga huyu haipendi CCM toka moyoni mwake.