Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

Hizo zipo sana. unakuta Mkurugenzi wa taasisi anasafiri kikazi, halafu ofisi anamkaimisha Mkuu wa Idara mojawapo, akijua fika kuna file la malipo hewa litakuja kwenye ofisi yake, anamwambia anaemkaimisha kwa mdomo "wakileta maombi yao wapitishie ili kazi ianze mara moja" na wewe mkuu wa idara kwa kutaka sifa uonekane huna noma, unapitisha kichwakichwa, watu wanapiga hela, ukaguzi ukipita unaeliwa kichwa ni wewe.

Kuna ishu nyingine lazima ujiulize, iweje waziri kaikwepa kutangaza, naibu waziri kaikwepa kutangaza, katibu mkuu kaikaushia, wote hao watatu wafikiri hawataki sifa, waona ngoja ulibebe, haya sasa, gunia la mavi limekufumukia.
 
Kumekucha Sasa Hivi
Kuna Mtu Alisema Aanze Kupisha Nyumba Ya Serikali
 
Aliahidi ajira 13.000 za walimu. Akajikuta uwezo wa kuwalipa na kampeni hizi ni mdogo. Aliamua kutoa kisingizio cha kutoajiri walimu wa vyeti baadae akaona itamharibia kisiasa ná uchaguzi huu.
Kumbe.......Ndiyo Maana....Njaa....Haina Bounce.....
 
Huyu mama katolewa kafara, inawezekana vipi jambo kubwa kama hili lenye maslahi namna hii lifanyikie kimya na mtu binafsi chumbani ambapo viongozi wengine wote hawajui na hawajawahi kushiriki taratibu zake?
 
Ni mbinu ya kichovu sana! Sasa kwa vile mama huyu hatopata nafasi ya kujieleza ndio imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom