Yah! Alichofanya hapa ni kutafuta kura za walimu... in short, anawahadaa!!!Ofcourse semakafu ni kada kindakindaki..yule ukikata mshipa damu inatoka ya kijani. Ila kwa huyu no.1 hiyo siyo kitu..akiona itamsaidia kisiasa..atakutoa kafara tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah! Alichofanya hapa ni kutafuta kura za walimu... in short, anawahadaa!!!Ofcourse semakafu ni kada kindakindaki..yule ukikata mshipa damu inatoka ya kijani. Ila kwa huyu no.1 hiyo siyo kitu..akiona itamsaidia kisiasa..atakutoa kafara tu.
Wanakera sana hawa jamaa!!Mijinga ya Lumumba hii inajitoa ufahamu. Achana nayo
Ila mimi binafsi niliposoma press release ya KM nikajua kinachofuata ni kutumbuaMaamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Aliahidi ajira 13.000 za walimu. Akajikuta uwezo wa kuwalipa na kampeni hizi ni mdogo. Aliamua kutoa kisingizio cha kutoajiri walimu wa vyeti baadae akaona itamharibia kisiasa ná uchaguzi huu.
Naibu Karibu mkuu alikuwa sawa ,hai walimu kwa Sasa ili kukuza na kuimarisha elimu panatakiwa mabadiliki makubwa kuendana na sayansi na teknologia Ila kwa sababu anategemea kura ambazo hatapewa kutoka kwa walimu ameamua kumtumbua.naye asubuhi tar 28 October atatumbuliwa . Tanzania wanafanya elimu ni siasa Ili kuzalisha vilaza mwishowe wawe wajumbe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.
Nafasi hiyo itajazwa baadaye.
View attachment 1591621
PIA SOMA
= > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania
= > News Alert: - Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti
Nimekuelewa sanaHizo zipo sana. unakuta Mkurugenzi wa taasisi anasafiri kikazi, halafu ofisi anamkaimisha Mkuu wa Idara mojawapo, akijua fika kuna file la malipo hewa litakuja kwenye ofisi yake, anamwambia anaemkaimisha kwa mdomo "wakileta maombi yao wapitishie ili kazi ianze mara moja" na wewe mkuu wa idara kwa kutaka sifa uonekane huna noma, unapitisha kichwakichwa, watu wanapiga hela, ukaguzi ukipita unaeliwa kichwa ni wewe.
Kuna ishu nyingine lazima ujiulize, iweje waziri kaikwepa kutangaza, naibu waziri kaikwepa kutangaza, katibu mkuu kaikaushia, wote hao watatu wafikiri hawataki sifa, waona ngoja ulibebe, haya sasa, gunia la mavi limekufumukia.
Mfumo wa chama chao ni wa hovyo Sana mwenyekiti ni mungu kamili akosolewi haojiwi awajibishwi ni fully diktetaTengeneza tatizo, tatua tatizo, wajinga oyeeeeee. Naamini wazee wa chama wanajuta sana kuja na hili jina.
Ushabiki wa kitoto. Ukishaandika taarifa yenye au, au ujue unabahatisha. Ulizeni walioko wizarani badala ya kusema au. Wapo watendaji wengi ambao ni bigheaded na wanajiona ni wataalamu sana! Huyo Ave mwenyewe unamjua?Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Tangu mwaka1961 mpaka Leo 2020 bado unategemea kupata maendeleo kutoka ccm sahau nakushauri tarehe 28 October kura yako mpe stering Asiye ingia risasi Arnold SchwarzeneggerTumechoka na hizi tenguzi sasa tunataka maendeleo.
Mbona wote wako hivyo? Mbowe kuna anayebisha mbele yake? Zitto kuna anayebisha mbele yake, Unamkumbuka Cheyo na amri za OUT! Uliona akina Lipumba walivyofukuzana? Nani mbishi mbele ya Mbatia? Munachosha tu na comments za kizembe!Mfumo wa chama chao ni wa hovyo Sana mwenyekiti ni mungu kamili akosolewi haojiwi awajibishwi ni fully dikteta
Katibu mkuu! Alisimamia PERMANENT HEAD DEMAGE(,PHD) ya MKUU WA "GINING" Nothing more nothing else🤣🤣🤣🤣🤣Hapo Mbwa kala mbwa.
Japokuwa kile kimama kimeonewa, lakini kile kimama kilikuwa na nyodo za kiCCM sana, kilikuwa kinajiona kimeshafika pale kisa kuteuliwa na Rais. Leo kimetumbuliwa usiku usiku. Huko kilipo lazima kipandishe sukari.
Yote kwa yote walimu walishaamua kuitosa CCM na Magu kwenye uchaguzi huu. Oktoba 28, kichapo kipo pale pale. Magu ajipange kulizwa tu.
Lakini si umeona mgombea wao ni chaguo la wanachama na sio la mwenyekiti, tofauti na kule walipoprint fomu moja tu ili kubeba visivyobebekaMbona wote wako hivyo? Mbowe kuna anayebisha mbele yake? Zitto kuna anayebisha mbele yake, Unamkumbuka Cheyo na amri za OUT! Uliona akina Lipumba walivyofukuzana? Nani mbishi mbele ya Mbatia? Munachosha tu na comments za kizembe!
Nawe una uzembe ktk usomaji! Ilani imeandikwa kufuta ....? Kuanzisha ndo iwe kufuta wakati una waalimu almost 100% wa sifa unayoifuta? Vyuo vyenyewe vya hiyo stashahada mpya, vipo?Ipo kwenye ilani yao wanatumbuana kimaigizo
View attachment 1591623
Nafasi za uteuzi ni Bora kwenda kuchunga mbuzi. Yule Prof Adolf mkenda aliyekuwa karibu mkuu wizara ya maliasili na utalii aliona uteuzi ni kazi ya hovyo na elimu aliyonayo akaamua kukimbilia ubunge kule Rombo Kilimanjaro mungu ampe Kura nyingi.Hizo zipo sana. unakuta Mkurugenzi wa taasisi anasafiri kikazi, halafu ofisi anamkaimisha Mkuu wa Idara mojawapo, akijua fika kuna file la malipo hewa litakuja kwenye ofisi yake, anamwambia anaemkaimisha kwa mdomo "wakileta maombi yao wapitishie ili kazi ianze mara moja" na wewe mkuu wa idara kwa kutaka sifa uonekane huna noma, unapitisha kichwakichwa, watu wanapiga hela, ukaguzi ukipita unaeliwa kichwa ni wewe.
Kuna ishu nyingine lazima ujiulize, iweje waziri kaikwepa kutangaza, naibu waziri kaikwepa kutangaza, katibu mkuu kaikaushia, wote hao watatu wafikiri hawataki sifa, waona ngoja ulibebe, haya sasa, gunia la mavi limekufumukia.
Shida ya wasomi wa Tzn ni wajinga wengi Sana wamekariri hawajui kupambanua mda sahihi wa kufanya Jambo.Wanasiasa wametoa tangazo la ajira tena linawahusu Hawa wa cheti hapo hapo unakuja na hili tangazo automatically watu watajua hakuna kazi Ila ni usanii.
Tangazo hili kwa wanafunzi lingewakutia chuoni na walimu walioko kazini wangepata waraka tena baada ya uchaguzi hakuna mtu angetumbuliwa,Hawa hawawajui wanasiasa huku wanajifanya wasomi hii mambo nawasikia na TRA wanapita na matangazo yao wakati mgombea mwingine anadai atapunguza utitiri wa kodi na ndio mshindani mkubwa lakini hawajui kujiongeza namna ya kufanya kazi zao kulingana na mazingira,wakitumbuliwa eti wameonewa.Hata Mimi ningekuwa mwanasiasa nakutumbua vizuri tuu