Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya Mohamed Musa Utaly

Aidha, amemteua aliyekuwa Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro, Waziri Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo akichukua nafasi ya Wendi Ng’ahala

EcKXR_JWsAA0135.jpg
 
Mmh! Huu sasa utakuwa ni msukumo utokanao wasiwasi juu ya uchaguzi wa mwezi Oktoba, hasa asikiapo ujio wa Lissu ama ushiriki wa Membe ktk kinyang'anyiro cha uraisi kwa kupitia chama cha upinzani.
Watu wanakwenda kugombea ubunge,huyo lisu wenu wala membe hawana lolote la kuogopwa
 
walioteuliwa wangetoka kanda ya ziwa wajuba wangekimbiza huu huzi mpaka basi.
Ila bado hawawezi kosa ya kusema.
 
Tutaendelea pia kumsihi aachane na ule utararibu wake wa kuteua makada wa chama chake walioshindwa kwenye kura za maoni kuwateua kwenye nafasi ambazo kimsingi zilistahili watumishi wa umma na walioitumikia Serikali yao kwa miaka mingi na kwa uaminifu mkubwa, mfano hao Maafisa Utumishi, na Wakuu wa Idara nyingine.

Vyeo vya kisiasa kama Ukuu wa Wilaya na Mikoa ndivyo ambavyo vinawastahili hao makada wa Ccm na siyo Wanajeshi au Polisi.
 
Teua, Tengua! Mwisho wa siku lazima tu gharama za mishahara zitaongezeka huku kukiwa hakuna cha nyongeza wala nini kwa miaka mitano mfululizo.
 
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.

Uteuzi mpya unaanza leo.
Source East Africa Radio

Maendeleo hayana vyama!
Kombo aliyekuwa Afisa Utumishi Temeke?
 
Lile jambazi utaly la mvomero linaenda kugombea au limetumbuliwa
 
Rais John Magufuli amefanya uteuzi leo na kumteua, Albinus Mgonya, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvumero mkoani Morogoro.

Kabla ya uteuzi huo Mgonya alikuwa Katibu Tawala Msaidzi mkoa wa Rukwa na anachukua nafasi ya Mohamed Musa utaly.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya BIharamulo mkoani Kagera.

Kabla ya uteuzi huo Kombo alikuwa Ofisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro na amechukua nafasi ya Wendi Ng’ahala.

Uteuzi wa viongozi huo umeanza leo Julai 5, 2020 na wateule wote wanatakiwa kuwepo Ikulu Chamwino Dodoma kesho Julai 6, 2020 saa 4 asubuhi

View attachment 1498422
Teua tengua teuzi tengua teua UA tengea kungua teuzi tengua teuzi tengua teuzi tengua halafu utasikia tumetengeneza ajira laki saba viwanda million mbili
 
Kutapatapa hii yote ya magu ni mtu mmoja tu anaogopwa hapo: TUNDU ANTIPAS LISSU.
Mmh! Huu sasa utakuwa ni msukumo utokanao wasiwasi juu ya uchaguzi wa mwezi Oktoba, hasa asikiapo ujio wa Lissu ama ushiriki wa Membe ktk kinyang'anyiro cha uraisi kwa kupitia chama cha upinzani.
Huu uwoga unampa wakati mgumu ,ila kichapo kipo pale pale.
Dahhh. jamaa muoga kweli! Kwa hiyo hao wateule wapya ndio watamlindia kura?
Watu wanakwenda kugombea ubunge,huyo lisu wenu wala membe hawana lolote la kuogopwa
 
Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya Mohamed Musa Utaly

Aidha, amemteua aliyekuwa Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro, Waziri Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo akichukua nafasi ya Wendi Ng’ahala

Kutumbua na kuteua hakuleti maendeleo katika nchi hii, tunapaswa kubadilisha mifumo mibovu tuliyonayo.
 
Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya Mohamed Musa Utaly

Aidha, amemteua aliyekuwa Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro, Waziri Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo akichukua nafasi ya Wendi Ng’ahala


Hizo nafasi zimeachwa na wale waliokaidi agizo lake la kuwa na nafasi, kisha kuiacha kwenda kugombea ubunge. Kipindi hiki atateua sana, maana wengi wanataka ubunge, baada ya kuona wanapata ubunge bwerere. Hajajua tatizo ni yeye kunajisi box la kura, kiasi kwamba kila mtu anaona akiwa mgombea wa ccm tu, atatangazwa kwa amri yake bila hata ridhaa ya wananchi.
 
Back
Top Bottom