Mbowe sio tishioSi umeona tena wamemuumiza Dudley Mbowe? Woga wa ajabu kwa CDM.
Hakuna kama mziki wa Lowasa 2015 ....NEVERMmh! Huu sasa utakuwa ni msukumo utokanao wasiwasi juu ya uchaguzi wa mwezi Oktoba, hasa asikiapo ujio wa Lissu ama ushiriki wa Membe ktk kinyang'anyiro cha uraisi kwa kupitia chama cha upinzani.