Mwalimu Mohamed Utaly anapiga jaramba kugombea mojawapo ya majimbo kusini mwa Tanzania
Najiuliza na yule Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Said Mtanda ataachia Ukuu wa Wilaya ili aende kugombea tena Mchinga? Huyu alimuangusha Mudhihir Mudhir enzi zile lakini hakurudi 2015