Wanateua ila ni wachache nadhani wengi wao vetting inawatoa kutokana na matatizo mbali mbali pia viongozi wa polisi na magereza wamelalamikiwa kwa kutokupeleka majina ya watu wanaofaa wakati wa uteuzi ili wafanyiwe vetting.hivi kwanini policcm hawateui?
He he he he mungu wa darisalamahivi makonda nae ni mwanajeshi ooh nimesahau kumbe yeye ni mungu.
Kama Robert Mboma na Shimbo walivyo na nidhamuNi mwendo wa mchakamchaka, hii nzuri sana hongera Mh rais kwa kuwaamini wanajeshi. Kiukweli wanajeshi wananidhamu, utii na uwajibikaji
Ukiona mtu anaamini matumizi ya nguvu na amri ujue kuna mshkeri katika makuzi yake!
Mengine baadaee.ajira kwanza...