Rais Magufuli atokwa na Chozi la huzuni: Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo

Mie sijatoa chozi kwa hotuba zile
Nalia nikimuona Mama Anna alivyogubikwa na mawazo
Roho iradhi lakini Mwili ni Dhaifu
Mungu akutetee Mamiii
 
Ni kweli, ndiye aliyesaidia KUPOKWA KURA kwa Mzee Lowassa.
 
raisi Magufuli ni mwigizaji mkubwa. ila hajuii hata kuigiza. wewe uliona wapi mtu analia hadharani halafu anawambia watu eti msinicheke kwa kulia maana hata kikwete aliliya. kwamaana nyingine ni kama alikuwa anasema hivi" ebu niangarie naria msije mkasema sikuria kama kikwete. is very childish.
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.

Haswaaa, nchi ilikuwa kopo tupu. Hata hivyo tutasemaje sasa maana lazima tu atakufa na sisi tulishaambiwa ni malofa. Tutamwimbia mapambio hata ya kinafiki. Lofa ni wa kuburuzwa na msindikizaji duniani.
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Hata mim nimejiuliza sikupata jibu labda kwa vile sifa haziishi watatunga nyingine, kama ruksa, vitu kushamili madukani nk
 

Kama Magufuli unampenda kweli Mkapa basi tukuone unamfuata alikokwenda kwa haraka usitoe machozi ya Mamba

Tume huru imekushinda aliyokuambia
 
Tanzania ndio nchii pekee wanayokutendea mema ukifa Ila ukiwepo ni vinginevyo
I hope kwa aliyofanya Magufuli hawatamsubiri afe ndio wampe hongera zake
Magufuli hadi sasa hakuna kiongozi wa serikali ambaye hajawahi kumsifia, wote wameshamsifu na kumtukuza. Magufuli ujinga wa kusubiriwa kusifiwa akiwa kwenye six feet
 
Hivi bado tu jiwe ana imani kuwa atatoboa october? Kwa Shazi lile la airport lililoletwa na social media pekee SIDHANI! Hatoboi!
Lisu au Membe watasubiri sana,
Kutoboa uchaguzi wa urais hapa bongo lazima uwe na support ya jeshi, kura peke yake hazipewi kipaumbele, kinyume na hapo ni kujidanganya tu.
 
Rais Mkata alikuwa institutional leader. He created insitutions and systems. Na kwa bahati nzuri taasisi zake alizounda zote au 99% ni functional. Hivyo ukiona kiongozi mwingine anajidai ni uongo. Mkapa created institutions, sestems anad machineries.
Na mzee Mwinyi alifanya nini ?
 
Na mzee Mwinyi alifanya nini ?
Naye atakuwa na yake alifanya ila kwake kikubwa ni Open Economy. Ruksa kufanya chochote halali cha kuzalisha mali au kukuongezea kipato. Hapa ndiyo aliruhusu mpaka watumishi wa umma kujipatia kipato cha Ziada baada ya muda wa kazi na ndiyo hata Medical Doctors partime engagements ilianza, tuitions, biashara kwa watumishi wengine wa umma, watu wengi kuanzisha biashara n.k. Yapo mengi wengine wanasema. Tatizo control mechanism ilikuwa weak with weak institutions ambayo Marehemu Mkapa alikuja fix.
 
Chozi la kinafki lile ,ni kama ile ya makonda alipolia madhabahuni
 
Marehemu alikuwa na mchango mkubwa Sana kwake binafsi, kwa taifa, Africa na dunia

Rest easy Hon. Benjamin William Mkapa
 
Marehemu alikuwa na mchango mkubwa Sana kwake binafsi, kwa taifa, Africa na dunia

Rest easy Hon. Benjamin William Mkapa
Hata hivyo amekiri katika kitabu chake mambo ambayo Kama binadamu alienda kinyume na kukosea ni viongozi wachache wanaoweza kufanya hivyo
 
Hii inamanisha Mkapa ndiye alikuwa akiongaza, kupitia JPM. Au ndiye aliyekuwa akimtuliza JPM kupunguza mwendo, na saira. Sasa tutaona uso wa jjpm wa kweli
 
Mkapa was everything to our president,.starting from zero to hero .no body could know about maguful if mkapa didn't appoint him as his minister..it is his right to cry for somebody who uplifted him.
 
Jpm alilia kwa kumuwaza lisu na mapokezi aliyopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…