Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuko na adidas yake anaipenda iyo raba balaa
 
Rais Magufuli amewasili wilayani Chato akitokea Dodoma na kuwapongeza wananchi kwa kujishughulisha na kazi za kuwaingizia kipato.

Mh Rais Magufuli alipata wasaa wa kukutana na wananchi na kujumuika nao kunywa kinywaji cha kahawa.

Source: ITV habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…