Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

Naambiwa badala ya kutoa stimulus package kwa wananchi... Wamewageukia wananchi wanaomba wapewe "michango" kutunisha mfuko wa Covid-19!!!?? Seriously??? Na kuna mijitu itachanga eti!
Lazima tuchange sisi tunaishi kijamaa mkuu achana na mabeberu hayana ujamaa mkuu!
 
Lazima tuchange sisi tunaishi kijamaa mkuu achana na mabeberu hayana ujamaa mkuu!

Changeni tu Ila yakija kuwakuta yale ya Lucky Vincent, Tetemeko Kagera n.k msije lalamika!!
 
2351324_4583B74F-C00B-423C-AB1F-F72F5CE21932.jpeg

Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
 
Rais Magufuli amewasili wilayani Chato akitokea Dodoma na kuwapongeza wananchi kwa kujishughulisha na kazi za kuwaingizia kipato.

Mh Rais Magufuli alipata wasaa wa kukutana na wananchi na kujumuika nao kunywa kinywaji cha kahawa.

Source: ITV habari
Naona ameamua corona isambae kwa kasi zaidi kwa kujivinjari vijiweni
 
Daah nimeona picha ya huyo JPM akinywa kahawa kijiweni huku akihudumiwa na mtoto.....
Hivi hao wanaompangia hizi comedy series hawajuhi kuwa "child labor and child exploitation" ni miongoni mwa makosa makubwa sana!!??
Tena watoto ,wameambiwa wakae nyumbani, siyo kwenda kuuza kahawa.Ndiyo maana shule zilifungwa sababu ya Corona.
 
28 Mar 2020
Rais John Magufuli amewasili katika Uwanja wa Ndege Chato Mkoa wa Geita akitokea jijini Dodoma.

Hii runway ya uwanja wa ndege wa makao makuu ya nchi mbona imechakaa sana ikilinganishwa na uwanja wa Chato

Daah nimeona picha ya huyo JPM akinywa kahawa kijiweni huku akihudumiwa na mtoto.....
Hivi hao wanaompangia hizi comedy series hawajuhi kuwa "child labor and child exploitation" ni miongoni mwa makosa makubwa sana!!??
Sina hakika kama kweli alihudumiwa na mtoto kwa sababu sijaona, lakini kwa sisi tuliotoka katika familia masikini mtoto kumsaidia mzazi kazi hasa katika hizi biashara ndogondogo ni jambo la kawaida sana tena kwa kipindi kama hiki shule zimefungwa sio jambo la ajabu kabisa kwetu,

labda wewe umebahatika kuwa katka familia bora ndo unaona ni child labor au comedy lakini ni katika harakati za kupambana na maisha tu.

Lakini nina uhakika ungeona mtoto wa kihindi wa umri huohuo yuko dukani kwa baba yake anahudumia wateja ungesifia anamuaandaa mtoto katika misingi ya biashara na si kosa kubwa sana. kila kitu sio siasa na siasa sio kila kitu.
 
View attachment 1402341

Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?

Hao “watu” anaowasalimia unawafahamu?
 
View attachment 1402341

Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
Acha kihere here wewe huyo ali haji hapo pembeni chini humuoni umefundishwa kukalili tu......nyie ndio mnaokulaga kareti ya shingo bila kujua hata imetokea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1402341

Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
Punguza ujuaji hujui ya kwamba mpaka Raisi kufika katika uwanja huo wa ndege ni kwa ulishafanyia surveillance wiki moja kabla..

Na kila Raia ambao wapo hapo kumlaki Mh. John Pombe Magufuli washapangwa, so kwa namna yoyote hakuna wa kumdhuru hapo..

Mwisho, tuache mihemko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom