Mileage
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 371
- 522
Haha! Kwa hiyo security surveillance ya wiki moja kabla unaona inakuwa applicable ? Unafikiri adui nae Hana akili au mipango ?Punguza ujuaji hujui ya kwamba mpaka Raisi kufika katika uwanja huo wa ndege ni kwa ulishafanyia surveillance wiki moja kabla..
Na kila Raia ambao wapo hapo kumlaki Mh. John Pombe Magufuli washapangwa, so kwa namna yoyote hakuna wa kumdhuru hapo..
Mwisho, tuache mihemko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app