Lazima tuchange sisi tunaishi kijamaa mkuu achana na mabeberu hayana ujamaa mkuu!Naambiwa badala ya kutoa stimulus package kwa wananchi... Wamewageukia wananchi wanaomba wapewe "michango" kutunisha mfuko wa Covid-19!!!?? Seriously??? Na kuna mijitu itachanga eti!
Lazima tuchange sisi tunaishi kijamaa mkuu achana na mabeberu hayana ujamaa mkuu!
Mambo ya usalama huyajui kaa kimya!!View attachment 1402341
Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
Naona ameamua corona isambae kwa kasi zaidi kwa kujivinjari vijiweniRais Magufuli amewasili wilayani Chato akitokea Dodoma na kuwapongeza wananchi kwa kujishughulisha na kazi za kuwaingizia kipato.
Mh Rais Magufuli alipata wasaa wa kukutana na wananchi na kujumuika nao kunywa kinywaji cha kahawa.
Source: ITV habari
Hujaona kuna alama ya kuuliza hapo ?Mambo ya usalama huyajui kaa kimya!!
Pale alikuwa alikuwa mazoezini which is non-official activity.Na juu ya mawe je..?
Tena watoto ,wameambiwa wakae nyumbani, siyo kwenda kuuza kahawa.Ndiyo maana shule zilifungwa sababu ya Corona.Daah nimeona picha ya huyo JPM akinywa kahawa kijiweni huku akihudumiwa na mtoto.....
Hivi hao wanaompangia hizi comedy series hawajuhi kuwa "child labor and child exploitation" ni miongoni mwa makosa makubwa sana!!??
Sina hakika kama kweli alihudumiwa na mtoto kwa sababu sijaona, lakini kwa sisi tuliotoka katika familia masikini mtoto kumsaidia mzazi kazi hasa katika hizi biashara ndogondogo ni jambo la kawaida sana tena kwa kipindi kama hiki shule zimefungwa sio jambo la ajabu kabisa kwetu,Daah nimeona picha ya huyo JPM akinywa kahawa kijiweni huku akihudumiwa na mtoto.....
Hivi hao wanaompangia hizi comedy series hawajuhi kuwa "child labor and child exploitation" ni miongoni mwa makosa makubwa sana!!??
View attachment 1402341
Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
Ndio nawafahamu.Hao “watu” anaowasalimia unawafahamu?
Acha kihere here wewe huyo ali haji hapo pembeni chini humuoni umefundishwa kukalili tu......nyie ndio mnaokulaga kareti ya shingo bila kujua hata imetokea wapi.View attachment 1402341
Yaani mheshimiwa kashashuka chini na kashaanza salimiana na watu ndo bodyguard wake anafika mlangoni ? Hili limekaaje hapa ? Yupi Kati ya Bodyguard wake na huyo mpambe wake alitakiwa atangulie kushuka kabla ya mwenzake kwa sababu za kiusalama ?
Hakuna fire pale kiongozi, kuna fire tender tuSasa hiyo fire inaenda kupuliza dawa kwake kunikinga na koona au?
Ndio nawafahamu.
Punguza ujuaji hujui ya kwamba mpaka Raisi kufika katika uwanja huo wa ndege ni kwa ulishafanyia surveillance wiki moja kabla..View attachment 1402341