Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanyabiashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.