Uchaguzi 2020 Rais Magufuli awaahidi wafanyabiashara wa mazao Dumila Tsh. milioni 100 za ujenzi wa mabanda ya kisasa

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli awaahidi wafanyabiashara wa mazao Dumila Tsh. milioni 100 za ujenzi wa mabanda ya kisasa

Nyie mmeo la rushwa tuu? Mimi huku nawaza kwa sauti kubwa hapa kuwa KWELI MKUU WA NCHI ANUNUE MUHINDI NJIANI NA AANZE UPIGA HAPO HAPO?
Aaah sema haya maigizo ukitaka pata piga *255*Tz#
 
Lissu anawapiga spana sana, sijui hiyo kampeni itakuwaje
 
Attachments

  • EemJU_XXsAAfO8q.jpeg
    EemJU_XXsAAfO8q.jpeg
    10.3 KB · Views: 1
Hicho chuma hakina mpinzani kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu maana ana sababu na hoja zenye mashiko kwa Watanzania kumpa tena ridhaa ya kuwaongoza
 
Hicho chuma hakina mpinzani kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu maana ana sababu na hoja zenye mashiko kwa Watanzania kumpa tena ridhaa ya kuwaongoza
Ni kweli mkuu. Na sababu moja ni ili aweze kutoa hizo 100mill na kusimamia matumiz yake. Tuache wivu jaman. Maendeleo hayana chama.
 
Rushwa ikowapi sasa? Yaani Rais aache kutatua matatizo ya watu kisa Rushwa?
Acha amirijeshi mkuu aache kufanya mambo ya muhimu?
 
Back
Top Bottom