Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
M50 zilimshinda ataweza hizo M100.mwambie aache kutoa rushwa anakumbuka shuka asubuhi..Safi sana Rais wa wanyonge
Ina maana Lissu halifahamu hili?Atajitetea kwamba si Rushwa kwa sababu bado hajachukua na kurudisha form ya URAIS toka NEC.
Sheria na zile kanuni 16 za kiwekeana mapingamizi zinaanza baada ya kurudisha form NEC.
Hapo sasa!!Ina maana Lissu halifahamu hili?
[emoji56][emoji56][emoji56]???Atajitetea kwamba si Rushwa kwa sababu bado hajachukua na kurudisha form ya URAIS toka NEC.
Sheria na zile kanuni 16 za kiwekeana mapingamizi zinaanza baada ya kurudisha form NEC.
Lissu anamsoma tu na hati yake ya mashitaka.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John.Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanya biashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo Hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.View attachment 1527816View attachment 1527817
Hii ni rushwa ya wazi kabisaaa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John.Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanya biashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo Hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.View attachment 1527816View attachment 1527817
Baridi la asubuhi silipendiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanyabiashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.
Amekwishachelewa, roho za Watanzania ziko na Tundu Antipas Lisu. Kwani si anapita hapo siku zote na anawaona mazingira ya biashara waliyonayo. TUNDU LISSU JuuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanyabiashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.
Mwaka huu kwa mara ya kwanza tutakua na uchaguzi TanzaniaLissu anamsoma tu na hati yake ya mashitaka.
ticking and crossing the boxes kwa pingamizi... bring them on!!