Uchaguzi 2020 Rais Magufuli awaahidi wafanyabiashara wa mazao Dumila Tsh. milioni 100 za ujenzi wa mabanda ya kisasa

Nyie mmeo la rushwa tuu? Mimi huku nawaza kwa sauti kubwa hapa kuwa KWELI MKUU WA NCHI ANUNUE MUHINDI NJIANI NA AANZE UPIGA HAPO HAPO?
Aaah sema haya maigizo ukitaka pata piga *255*Tz#
Kwani Mbowe Mugabe FARU JOHN anazinywea wapi!
 
Mkuu ingekuwa ni rushwa takukuru wangeshafanya yao. itakuwa wameshajiridhisha ni takrima labda.
Takukuru hawahawa aliokua anamfokea boss wao hadharani huku akimwambia tena usifanye nijute kukupa hizo Nyota?Ndio waseme hio ni rushwa.
 
Ushamba kugawa fedha barabarani wakati kuna wizara husika na halmashauri, sijui hii tabia kaitoa wapi?
Nchi hii kuna wananchi hawajawahi kugaiwa hata mia , maana huwa rasi hapiti huko.
 
Naona kampeni tayari zimeanza. Twende naye. Twende!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…