Hahaha eti "kamtuma India kwa matibabu"https://www.facebook.com/video.php?v=1423050691092254Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.
https://www.facebook.com/video.php?v=1422955051101818
Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========
Mawaziri Dkt Harisson Mwakyembe na Palamaganda Kabudi wameshaapa, wanaoapa kwa sasa ni mabalozi wanaonda kuwakilisha katika nchi mbalimbali.
======
Anaeongea kwa sasa ni Rais Magufuli na kuwapongeza wote walioteuliwa. Amewaambia wasitegemee mazuri sana kwa kazi huwa zina lawama hasa kwa Tanzania ambapo kuna grupu la watu wao siku zote ni kulalamika.
Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu.
Siku hizi uapishwaji umekuwa ni tukio kubwa sana kuliko tulivyokuwa tukijua. At the same time umuhimu wa bunge umepunguzwa. Ndiyo maana tonaonyeshwa LIVE wanapoapishwa, Uzinduzi au kuweka jiwe la Msingi wakati bunge halipati hiyo coverage.Leo shughuli za IKULU ziko FULL LIVE TBC & AZAM TWO!!!
Fwatilia
Lakini bado taarifa unazipata na bado unapata muda wa kuzikandia. Unafiki wenu huuWatanzania hawana muda wa kuangalia kinchoendelea huko ikulu kwanza wameshapoteza matumaini na baba jesca.
Tangu mmeanza kumsema, mmefanikiwa kwa lipi ?
Sijazipata manake tv hiizo zoote nimekwambia nimeona vipindi vingine..sasa nimezipataje kwa radio call ama?Lakini taarifa umezipata
Kumbe hata mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Tanzania wanaapishwa na rais Magufuli? Wanaapishwa au wanapeleka hati za utambulisho?Nimeshindwa kukuekewa au wewe umekosea kuripoti?
hahahahahahahanamalizaje bando kumuangalia mwakyembe na bwana yule?
Bora niingie you tube nicheki miereka
Pasipo mawazo tofauti hakuna maendeleo na huo ndio ukweli. Nakupongeza kwa kuliona hilo!!kila siku teuzi sijui atarekebisha uchumi lini.....rais gani ukitofautiana tu na mtu kimtazamo una msitepisha down unateua mwingine.
Hamna maendeleo pasipo mawazo tofautitofauti
Mi nacheza la nyoka.Sina mda huo, kuna game nacheza kwenye simu yangu.
Kumfanya atoke povu jingiTangu mmeanza kumsema, mmefanikiwa kwa lipi ?
Nimecheck Clouds, ta tv zingine naona wako na vipindi vingine kabisaaa....itv ndio kwanza naona mwalimu wa chekechea anafundisha
Yani hii katuni imencheksha sana,namuona bashite mkubwa anavyowatwanga na nyundo hao wapinzani na media![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hio mkuu ilokua haifai manake TBC pekee ndio walikuwepo pale tuuu...saa zingine tunaona picha tuuu hamna sauti ya kaz kweel kwelYaani walichotakiwa kufanya ni kuacha kumuonyesha JPM,maana anafikiria zile sinema tunazifurahia
Kashasoma huku hataki kuzungumza Leo, ila Mwakyembe ameongea anatia huruma hana jinsi