Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

rais kilaza , bashite kilaza mna wanajitia wanania njema kumbe wanajinufaisha hvyo wajue watanzania s wajinga hata kidgo mna wao ndo wajinga wako wapi waliofukuzwa kwa kufoji vyeti LEO BASHITE KAFOJI AJACHKUA UAMUZI NI WAZI NI UPENDELEO WA HALI YA JUU TENA WENYE KUPITILIZA LEO TENA BADO MUHIMILI WA NNE WA SERIKALI UNCHEZEWA HIVYO WWE SI RAIS MWENYE MSIMAMO BALI NI RAIS MJINGA USIEJUA NNI ULIFANYALO MNAA KWA MDA MFUPI UMEBADILISHA WATU KWENYE BARAZA LKO JE KILA MTU ULIEMTOA ULIKUWA NA BIFU NAE PIA HVI UMESAHAU SWALA LA AJIRA MNAA WATU WAKO MTAANI HAWANA AJIRA BASI AJIRA HUTOI HVYO WAWEZESHE HATA MTAJI JAPO KIDGO ILI VIJANA TUJIAJIRI NALO HILO HUTAKI UMEKAA IKULU UKICHEKI SHILAWADU WALE ULIOWAPONDA NA TENA BADO HAITOSHI UNAONA RAIA WAKO KMA WAJINGA NA UNADAI WASIKUPANGIE NNI CHA KUFNYA PIA TAMBUA RAIS NI TAASISI NA S CHOMBO CHKO WWE NA FAMILIA YAKO HVYO ENDELEA KUMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUNYANYASA RAIA NA KUFNYA ULITAKALO ILA DAWA YAKO SOON IKO KARIBU KUCHEMKA NA UKAE UTAMBUE HII NCHI S YA WASUKUMA PEKE YAKE BALI NI NCHI YA WATANZANIA WOTE HVYO WAJINGA WAWILI NYINYI MSITUHALIBIE NCHI NI VYEMA MTUACHIE NCHI SAFI NA WALA HATUTAKI MACHAFUKO
 
Hamataki kuwa pesa nyingi imeshuka kwa wakati na kukubaliwa kutolewa wakati mmoja+? Yaani ndani ya siku moja na zingine zipo njiani?

Magufuli oyeeeeee
 
Nasikitika rais na yeye anashinda mitandaoni, mara zote anasema kuna umbea na udaku.
Kama yupo makini awe anasoma report za World bank, UN na IMF kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu.

Aache vyombo vya habari vifanye kazi zake
Ripoti za NBS, Waziri wa Fedha na Benk Kuu pamoja na za Intel briefing kwa sasa ni muhimu zaidi ....Hizo za WB, UN na IMF ni kutuvuruga malengo yetu
 
Yaan azam tv huwa wanakera kila habari ya mkuu live, matangazo yenyewe hawana kazi kututangazia majuic yao yasiyokuwa na kiwango
Unawasaifia gharama au, vitu vingine siyo vya kulalamikia media siyo yako gharama hulipi wewe sasa wanakukera kitu gani anzisha media yako uone kama kuna mtu atakulazimisha ufanye kama anavyofanya azam. Punguza basi ukilaza.
Mkulu anaogopa sana challenge.
 
Kama Dr. Mwakyembe alivyoshindwa kwenye uchaguzi Wa TLS, atashindwa kwa vyombo habari mchana kweupee
 
Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu
Natamani sana angekuwa anaachana na hizi habari za kujibishana na yanayosemwa. Hata kama ana-mind apotezee tu na a focus kwenye the main issue. Hivi hata kwenye kuapisha lazima atoe speech??😕
 
Walipomsakama Lissu kwenye TLS, wakawa wamefanya promotion unknowingly. Rais anapoongelea social media kila anapopata fursa ya kuhutubia, anafanya promotion unknowingly
 
Ndani ya mwaka mmoja mtu anaapa nafasi hiyo hiyo ya uwaziri zaidi ya mara moja, kuna tatizo somewhere somehow
 
Huyu Pombe sijui anapoelekea, yeye anataka waseme yake mazuri wasiseme ya kuvunja haki. Siku hizi ameacha kusema ukweli utawaweka huru. Hivi yeye na Nape nani nani anasimamia ukweli. Anapoelekea pabaya. Hata hotuba haina mishiko ni lawana tu bila hata shukrani. Hii ndio Tanzania mpya.
 
Nimesikia amewaambia wamiliki wa vyombo vya habari..nanukuu" be careful,,watching"

Sijui alimaanisha nn hapa, kuna mtu anaweza kunifafanulia tafadhali.
 
Nimesikia amewaambia wamiliki wa vyombo vya habari..nanukuu" be careful,,watching"

Sijui alimaanisha nn hapa, kuna mtu anaweza kunifafanulia tafadhali.
 
Kapanik kuona hbr zake tumezipuuza. Na hizi tutazipuuza tu sababh ni ushilawadu na mipasho. Tanzanua imepata rais anayetua kutunga mistari ya taarabu
Sasa hapa unahorojokea habari za nani?
 
Back
Top Bottom