mwanamke mchochezi wewe sijapata kuonaWatu wanatumwaga kwa Matibabu??Maajabu na kweli.Ameogopa magazeti ya kesho.Atashangaa asipoona tukio lake
dkt wa sheriaNatamani sana kukuona akiwa na kina Lulu, Anti Ezekiel, Masogange, Le Mutuz, nk. Pia natamani kumuona Airport akimsubiri Diamond au Ali Kiba ili akabidhiwe tuzo za MTV. Napenda sana aonekane na bukta yake huku akifanya mazoezi na Serengeti Boyz. Itakuwa raha sana akishirikiana na Jike Shupa au Malkia wa Mipasho. Pia asikose kwenye masebene ya FM Akademia, Kanga Moko na Fiesta!
Kama umepata muda wa kuingia humu bila shaka unamkubali magu na mwakyembeSina mda huo, kuna game nacheza kwenye simu yangu.
mwanamke mchochezi wewe sijapata kuona
Hamchelewi kuifungulia mada hii sentensi! Maana nyie ni wazee wa 'bampa to bampa'. Mkitoka kujadili mada hii mnaingia hii. Ili mradi mnaishi kwa matukio. [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]Matibabu yake au ya Kinana??Maana utamtumaje mtu kwenye matibabu??
Waache kutafuta riziki kisa nape? Ndo ujue watanzania walivyowanafikiVyombo vya habari vinavyoenda kureport hilo tukio vimemsaliti Nape!! Alitumbuliwa kwa kuwatetea nyie tena mnamsaliti? Kweli Tanzania akili zetu hata tusome hatuna tofauti na nyumbu!!!!
dkt wa sheria
C ndo hapo, utafikiri waliitwa, mijitu mingine kama mizimu ya bilaliMMELAZIMISHWA???.....nendeni mkafanye kazi
Shujaa wa Wema. Kwani wewe ni Wema?Nape shujaaa
Hamchelewi kuifungulia mada hii sentensi! Maana nyie ni wazee wa 'bampa to bampa'. Mkitoka kujadili mada hii mnaingia hii. Ili mradi mnaishi kwa matukio. [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]
Watanzania wakina nani, wewe? Kwanza huna manufaa bora ufe tu mxieeeWatanzania hawana muda wa kuangalia kinchoendelea huko ikulu kwanza wameshapoteza matumaini na baba jesca.
Aaaahahahah, loohWatu mlisema kuna njaa nchini wakati kila siku mnajiunga na bando.