Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Na kweli wawe extra careful. You touch boushit you disappear permanently
 
Mfurahishe bwana mkubwa,hii ni mistari wimbo mpya wa Ney!Mistari iko random!
"Kichaa kapewa rungu"," We mtu gani hutaki kukosolewa,umerogwa wewe","Kuna viongozi wavuta bangi,wapo,maana wana maamuz ya kise.."
"Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti"," samahani muheshimiwa hivi unamjua bashite","Jipu jipya toka kolomije"
"Nchi inaendeshwa kwa kiki"," waliommiss JK wapo"
"Kuna watu hawana marinda"
 
he he he hii ndio tatizo la jumanne kuingia mlimani kwa equivalent na sio kwa kufaulu high school
 
Daaah mzeee kamaindi eti kachek page ya kwanza holaa ta pili holaa ya tatu holaah ayupo na container zake watu wote Nape tuuuuh kawamaindi kinyama
 
"BE CAREFUL AND WOCHINGI"

ni mwendo wa kutishana, mbona kila mtu anatishwa sasa na huo uzalendo utatokea wapi?
 
magufuli atakuwa kichaa
wale vijana machachari wakina nape january mwigulu. waliokuwa wapiga debe na wajibu hoja wako kimyaa.



huyu jpm aka pentiam zero ataweza haya makombora azime internet kama anauwezo.
 
Kuna dongo linamhusu mzee machache kwenye hii speech. Pale ilipoongelewa issue ya ugomvi wa wakulima na wafugaji kupewa muda mwingi wa hewani.
 
Mkuu anataka kusikia anayoyapenda.....Haiwezekani hata kidogo tufikiri kitu kimoja.
 
Ukiisikiliza vizuri hiyo hotuba utagundua kuwa tumeongeza idadi ya madikteta Afrika. Siyo dikteta uchwara tena, ni dikteta kamili.
 
Back
Top Bottom