Daaah ni shidaaRais wa Tanzania Dkt John Magufuli ametoa onyo kwa vyombo vya habari nchini humo kwa madai vinaandika habari zisizo za kizalendo.
Kiongozi huyo amemtaka waziri mpya wa Habari Dkt Harrison Mwakyembe kuvichukulia hatua za kisheria.
"Kila kitu chenye nia ya uchochezi fulani fulani, wao ndio stori. Sasa Mwakyembe kafanye kazi. Nataka ukafanye kazi. Kama wapo waliokuwepo waliokuwa wanashindwa kuchukua hatua wewe kachukue," amesema Dkt Magufuli alipokuwa anamwapisha Dkt Mwakyembe na mabalozi ikulu.
"Kwa ni mwanasheria mzuri, msomi, umesomea mambo ya habari, kafanye kazi. Serikali ipo. Hatuwezi tukaiacha serikali ikaangamia kwa sababu ya wat wachache.
Rais Magufuli ameonyesha kuchukizwa na habari zilizopamba ukurasa wa juu katika magazeti ya leo ambapo magazeti mengi yameweka picha ya aliyekuwa waziri wa habari Nape Nnauye akitolewa bastola katika vurugu zilizotokea jana.
"Hata kasomeni tu leo magazeti ya leo. Picha yote heading ni picha ya mtu ambaye alifanya kosa moja, kana kwamba kitendo hicho kilifanywa na serikali. Kwanza ukurasa wa pili, huyu anatoa anafanya hivi....nawaambia wamiliki wa vyombo vya habari, tahadharini. Kama mnafikiri mna uhuru wa namna hiyo, haujafikia huko."
nimecopy na kupaste tu ndugu, kasome bbc swahili website. usije ukawa we ndo umepanikUMEPAAAAANIK BRO!
hiyo 'U' sio wewe mkuu!nimecopy na kupaste tu ndugu, kasome bbc swahili website. usije ukawa we ndo umepanik
Kumtuliza Bashite.Tangu mmeanza kumsema, mmefanikiwa kwa lipi ?
rais kilaza , bashite kilaza mna wanajitia wanania njema kumbe wanajinufaisha hvyo wajue watanzania s wajinga hata kidgo mna wao ndo wajinga wako wapi waliofukuzwa kwa kufoji vyeti LEO BASHITE KAFOJI AJACHKUA UAMUZI NI WAZI NI UPENDELEO WA HALI YA JUU TENA WENYE KUPITILIZA LEO TENA BADO MUHIMILI WA NNE WA SERIKALI UNCHEZEWA HIVYO WWE SI RAIS MWENYE MSIMAMO BALI NI RAIS MJINGA USIEJUA NNI ULIFANYALO MNAA KWA MDA MFUPI UMEBADILISHA WATU KWENYE BARAZA LKO JE KILA MTU ULIEMTOA ULIKUWA NA BIFU NAE PIA HVI UMESAHAU SWALA LA AJIRA MNAA WATU WAKO MTAANI HAWANA AJIRA BASI AJIRA HUTOI HVYO WAWEZESHE HATA MTAJI JAPO KIDGO ILI VIJANA TUJIAJIRI NALO HILO HUTAKI UMEKAA IKULU UKICHEKI SHILAWADU WALE ULIOWAPONDA NA TENA BADO HAITOSHI UNAONA RAIA WAKO KMA WAJINGA NA UNADAI WASIKUPANGIE NNI CHA KUFNYA PIA TAMBUA RAIS NI TAASISI NA S CHOMBO CHKO WWE NA FAMILIA YAKO HVYO ENDELEA KUMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUNYANYASA RAIA NA KUFNYA ULITAKALO ILA DAWA YAKO SOON IKO KARIBU KUCHEMKA NA UKAE UTAMBUE HII NCHI S YA WASUKUMA PEKE YAKE BALI NI NCHI YA WATANZANIA WOTE HVYO WAJINGA WAWILI NYINYI MSITUHALIBIE NCHI NI VYEMA MTUACHIE NCHI SAFI NA WALA HATUTAKI MACHAFUKO