Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

ahahahahhha MTU ANATUMWAJE KUTIBIWA?
ahjahahahahhahahahhahhahahhahaha hakyanani!
 
Kuna mtindo wa ufikishaji habari....naweza kwa mfano nikakwambia ahhh we si mpuuzi tu na ukaishia kucheka...lakini naweza kukwambia wewe mpuuzi na unifanyi kitu na wewe ukaamka na kunitandika kibao cha shavuni...neno lile lakini mfikishaji analifikisha akiwa na sauti ya aina gani.

Unamlisha maneno Raisi, bahati nzuri nimesikiliza hotuba yake, alicholalamika ni kua kuna TV kutwa ni kurusha habari za wafugaji na wakulima na pia wanarusha kwa muda mrefu sana. Hii inaonyesha mkulu anapendezwa na habari nzuri tu kama za ziara za kustukiza bandarini, kuweka majiwe ya msingi nk
 
Ndugu yangu hata Hitler na ukatili wake alikuwa anakubali changamoto kutoka kwa wasaidizi wake.

Cha kukubali kwangu mimi na wewe ni kwamba Tanzania inathamini kwenye udaku wa kipuuzi kuliko habari positive za kimaendeleo.

Wanakuja wamorocco, waturuki na watu wa mataifa mengine mengi tu kwa ajili ya kufaidika na kile tulichojaliwa lakini sisi kwa ujumla wetu suala la bashite ni la muhimu kuliko mijadala mipana ya kimaendeleo.

JK alitulea vibaya sana kwa kutupa uhuru ambao hata wendawazimu wa mirembe hawawezi kupewa.
 
Wewe hupendi kupangiwa, leo unataka kuwapangia wenzio kwenye investments zao. Kwan ulikuwepo walivyokuwa wanafungua hizo media zao?
 
Maajabu yA TZ hayaishi. Kinana katumwa india kwenye matibabu. Hii maana yake nini hasa? JPJM ndiye anaumwa na Kinana anakwenda kutibiwa kwa niaba yake au kinana anaumwa. Dah, ngosha ni shida!
 
Ukisikia mtu anapiga kelele ujue jiwe limempata huyo. Adui mwombee njaa, adui yako akipatwa na njaa na ww ukamsikitikia ujue kuna namna hapo
 
Mheshimiwa Rais ameongea vizuri sana na nimemuelewa.

Waandishi wa habari mbadilike si kwa sababu Rais kasema bali hata sisi wananchi tunaona mnavyokomaa na habari za kidaku kuliko habari zenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.

Taifa kwanza mambo mengine baadae.

Mtaeleza nini vizazi vijavyo????au mnadhani watoto wenu watakwenda kuishi sayari ya Mars?????kuweni makini.
 
Natamani sana angekuwa anaachana na hizi habari za kujibishana na yanayosemwa. Hata kama ana-mind apotezee tu na a focus kwenye the main issue. Hivi hata kwenye kuapisha lazima atoe speech??😕
Inaelekea anapenda publicityou! !

Ndiyo maana anemind headlines za magazeti ya leo. Inataka kujifanya Hajui kuwa hizo heading ndiyo zinazouza gazeti!! Trip za kustukiza labda watu wameshazizoea. Abadirishe strategies!!
 
Maajabu yA TZ hayaishi. Kinana katumwa india kwenye matibabu. Hii maana yake nini hasa? JPJM ndiye anaumwa na Kinana anakwenda kutibiwa kwa niaba yake au kinana anaumwa. Dah, ngosha ni shida!
Hahahahaaaaaaa
 
Mheshimiwa Rais ameongea vizuri sana na nimemuelewa.

Waandishi wa habari mbadilike si kwa sababu Rais kasema bali hata sisi wananchi tunaona mnavyokomaa na habari za kidaku kuliko habari zenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.

Taifa kwanza mambo mengine baadae.

Mtaeleza nini vizazi vijavyo????au mnadhani watoto wenu watakwenda kuishi sayari ya Mars?????kuweni makini.
Taifa ni watu.
 
Ndugu yangu hata Hitler na ukatili wake alikuwa anakubali changamoto kutoka kwa wasaidizi wake.

Cha kukubali kwangu mimi na wewe ni kwamba Tanzania inathamini kwenye udaku wa kipuuzi kuliko habari positive za kimaendeleo.

Wanakuja wamorocco, waturuki na watu wa mataifa mengine mengi tu kwa ajili ya kufaidika na kile tulichojaliwa lakini sisi kwa ujumla wetu suala la bashite ni la muhimu kuliko mijadala mipana ya kimaendeleo.

JK alitulea vibaya sana kwa kutupa uhuru ambao hata wendawazimu wa mirembe hawawezi kupewa.
kweli Mkuu, ushabiki mbaya sana na utatuangamiza watz..mambo ya msingi kapuni umbea unapewa promo midomoni mwa watu. mtu yupo kigoma kakazana na bashite . wakati bashite ni Mkuu Wa mkoa Wa Daresalama
 
kweli Mkuu, ushabiki mbaya sana na utatuangamiza watz..mambo ya msingi kapuni umbea unapewa promo midomoni mwa watu. mtu yupo kigoma kakazana na bashite . wakati bashite ni Mkuu Wa mkoa Wa Daresalama
Akiletewa mezani suala muhimu lenye kuweza kumtajirisha anabaki anatoa mimacho utadhani kabanwa na mlango.
 
Kama msafi vitisho vya nini ? Kama mpenda kweli mpenzi wa mungu ,hofu na vitisho vya nini ?hamwamini huyo mungu wake? au ni mungu wa kuchonga au wa kibuyu ?
 
Nzi, I can't access your thread, sijui mods wameifanya nini. Lakini napenda usikilize tena kauli ya raisi, tuponde na kupinga mabaya lakini sio kila kitu.

Naamini unaelewa, kuongea na kusikiliza kiswahili kwa ufasaha.
Mods wameifuta hiyo thread...maajabu kabisa.

Bado nasema, Rais aache uongo! Hiyo interpretation unayoitoa wewe siyo lazima nikubaliana nayo.

Mtu kusema "President of World Bank hajawahi kuja Tanzania", plainly inamaanisha nilichokisema. It is a vague statement ambayo interpretation yangu ina-make sense. It wouldn't been the case kama Magufuli angekuwa explicit kwa kusema "The President of World, Kim, hajawahi kuja Tanzania". Kusema "President of World Bank", kunamaanisha taasisi ya urais. Hiyo ni open statement, ambayo inaruhusu interpretation kama yangu.

BTW, ni norm ya Magufuli kusema uongo, isn't it? Just get used to this pathetic sadist liar dikteta uchwara...

Anyway, siku hizi JF wanaufyata...[HASHTAG]#BringBackRealJF[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom