Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Wale tuliojaliwa hisia ya sita(sixth sense) tunamuona rais mwenye mapenzi ya dhati na nchi yetu, rais anayepigana na kikundi cha watu wachache ambao walikuwa wamefikia hatua ya kuigeuza nchi kama chapati! Kikundi ambacho kwa ukwasi wake wa pesa kilikuwa na uhakika wa kumuweka MTU wa kulinda maslahi yao kuanzia vyombo vya ulinzi, mabenki, vyombo vya sheria, taasisi za dini,nk.
JPM amewasapraizi wanakikundi hawa kiasi kila wanapogusa panateleza, kibaya zaidi kundi hili linatumia mbinu zilezile za tangu enzi, wameishiwa pumzi!

Kila la heli JPM, kazi uliyobakiza ni nyepesi sana, rekebisha huko juu huku chini tutajipanga wenyewe tu.
 
Mie nafikiri kabla habari hazijatoka wahariri wote wawe wanapanga foleni ikulu zikaguliwe kwanza.

Tanzania ya leo ni ya full of Intellectuals na siyo ile ya Mamburula aliyoizoea Yeye. Tena nimsihi tu ajitahidi kuviheshimu sana Vyombo vya Habari kwani vina sifa moja Kuu tu ambayo ama ikujenga upendwe sana au ikuchafue uchukiwe mno. Kazi Kwake kuchagua kimojawapo hapo.
 
Eti magufuli kachukizwa na Heading za magazeti ya leo, Anadai jamaa aliyetoa bastola alifanya hivyo kwa utashi wake , serikali haihusiki na kile alichofanya.
Nadhani alitegemea sinema yake ya kichina ya jana itapewa promo. Cha ajabu ilipoteza mvuto kabla haijafika kwa walaji.
 
Mods wameifuta hiyo thread...maajabu kabisa.

Bado nasema, Rais aache uongo! Hiyo interpretation unayoitoa wewe siyo lazima nikubaliana nayo.

Mtu kusema "President of World Bank hajawahi kuja Tanzania", plainly inamaanisha nilichokisema. It is a vague statement ambayo interpretation yangu ina-make sense. It wouldn't been the case kama Magufuli angekuwa explicit kwa kusema "The President of World, Kim, hajawahi kuja Tanzania". Kusema "President of World Bank", kunamaanisha taasisi ya urais. Hiyo ni open statement, ambayo inaruhusu interpretation kama yangu.

BTW, ni norm ya Magufuli kusema uongo, isn't it? Just get used to this pathetic sadist liar dikteta uchwara...

Anyway, siku hizi JF wanaufyata...[HASHTAG]#BringBackRealJF[/HASHTAG]
Mods are right! Ulitaka kutumia nafasi yako kupotosha umma, kuna watu wenye uelewa mdogo sana humu, umetumia nguvu nyingi kupotosha na ndio maana mods waliona thread haina uhalali kuwepo.

Tukosoe panapostahili, hata kama prezda hataki, lakini propaganda sio nzuri.

Hongera kwa mods kufuta uzi unaopotosha.
 
Kumbe hata mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Tanzania wanaapishwa na rais Magufuli? Wanaapishwa au wanapeleka hati za utambulisho?Nimeshindwa kukuekewa au wewe umekosea kuripoti?
Wanapeleka barua za utambulisho. Huyu Magazetini hajui tofauti ya balozi wa Tanzania nchi za nje na balozi wa nchi za nje Tanzania!
 
Mods are right! Ulitaka kutumia nafasi yako kupotosha umma, kuna watu wenye uelewa mdogo sana humu, umetumia nguvu nyingi kupotosha na ndio maana mods waliona thread haina uhalali kuwepo.

Tukosoe panapostahili, hata kama prezda hataki, lakini propaganda sio nzuri.

Hongera kwa mods kufuta uzi unaopotosha.

I don't give a damn...as long as I used the chance to show how that pathetic of a person, is a liar.

Mimi nimekwambia statement yake ilikuwa open kwa more than one interpretation...ila wewe na mods mmeshikilia interpretation moja..na kusema ya kwenu ndiyo sahihi, wakati Magufuli alitoa open na vague statement. Hivyo ndivyo utokea kama ukipenda kuongea bila kufikiria unachokiongea....

Otherwise, go lick his bahookie....
 
Samahani jamani nimekumbuka usemi usemao "Muongo Mzuri ni Yule Anae kijua Anachokidanganya" ....

Kwa angalizo tu, hivi unawezaje au inakuwaje au ndio kivipi yaani kumtuma mtu matibabu nje ya nchi?

Sijaelewa yani how 'n why ... eti unamtuma mtu matibabu ... Ha ha ha ha haaaa ... uongo mwingine bana ni kujidharaulusha tu jamani Argh!!! Ptwa!!! UCHAFU TU!!!

Yaani kamtuma amletee dawa, au kapeleka dawa, au aende akitibiwe ... yaani sijaelewa yani au akalete dawa yaaani kanivuruga ujue!!!

Anyway kuna tetesi za karibu na uhakika kua Mzee Kinana yupo hajakwenda popote
 
Kavurugwa....
 
Mimi naomba niulize, Mwakyembe ameagizwa kwa msisitizo "akafanye kazi.." lakini kazi yenyewe aliyoagizwa haisemwi. Kwa msisitizo, anaagizwa kama kuna wengine huko nyuma labda akimaanisha "Nape Nauye" walikuwa wanashindwa kuchukua hatua "Yeye akafanye kazi".

Ni kazi gani hiyo ataifanya? Vyombo vya habari hasa ITV iliyolengwa moja kwa moja kwenye hotuba ya Mkuu, vijipange vipi kwa kishindo kinachokuja??

Yetu macho. Mimi sio mwanahabari wala mmiliki wa vyombo vya habari..
 
Ndugu yangu hata Hitler na ukatili wake alikuwa anakubali changamoto kutoka kwa wasaidizi wake.

Cha kukubali kwangu mimi na wewe ni kwamba Tanzania inathamini kwenye udaku wa kipuuzi kuliko habari positive za kimaendeleo.

Wanakuja wamorocco, waturuki na watu wa mataifa mengine mengi tu kwa ajili ya kufaidika na kile tulichojaliwa lakini sisi kwa ujumla wetu suala la bashite ni la muhimu kuliko mijadala mipana ya kimaendeleo.

JK alitulea vibaya sana kwa kutupa uhuru ambao hata wendawazimu wa mirembe hawawezi kupewa.
Ishu ya Bashite ilianza kama utani lakini angalia tulipofika Leo, laiti kama ingekua ilitatuliwa mwanzoni leo hii tusingefikia hapa mpaka mawaziri kubadilishwa, kuvamia vituo vya radio, kuonyehana bastola hadharani, kuchukiwa kwa vyombo vya habari. Nyie mnaona ishu ndogo but time goes on inazidi kukua. Mdharau mwiba.......? Unaweza kumsima A.Sen atakufundisha nini maana ya development
 
Mkuu jiulize kwanini Bashite hajatumbuliwa mpaka leo hii.

Issue yake msingi wake ni vita dhidi ya madawa ya kulevya. Vyeti vya jamaa vimekuwa ni headlines baada ya watu kadhaa kuguswa.
Wauzaji wa ile kitu mbaya kwa afya wanazo nguvu nyingi sana za kiuchumi. Bahati mbaya ni rahisi sana kucheza na akili za mtanzania, kwa sababu mtanzania anadanganywa na kile anachokiona machoni pasipo kujiuliza kilichomo ndani.

Issue ya Bashite inatumiwa na jamii chafu haswa ile ya kwenye majiji yetu makubwa, jamii ambayo imezoea kula maisha mema kwa gharama za vijana kuwa mateja na kuwa useless kwenye familia zao.

Mkuu JPM hajamtumbua Bashite na haoni yote yanayoendelea kana kwamba yanasababishwa na yeye, kwa sababu anaelewa umafia upo vipi na nani anayefaidika nao.
 
​

Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.

Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========

Mawaziri Dkt Harisson Mwakyembe na Palamaganda Kabudi wameshaapa, wanaoapa kwa sasa ni mabalozi wanaonda kuwakilisha katika nchi mbalimbali.
======

Anaeongea kwa sasa ni Rais Magufuli na kuwapongeza wote walioteuliwa. Amewaambia wasitegemee mazuri sana kwa kazi huwa zina lawama hasa kwa Tanzania ambapo kuna grupu la watu wao siku zote ni kulalamika.

Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu.

====​

KUNA KITU cha hovyo sana kinaendelea IKULU; SASA hata matibabu watu wanatumwa?
WTF?
 
Back
Top Bottom