Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?
 
Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?

Lahaja za kiswahili bado ni shida

Difference Between News and Information

• News is presentation of facts about an event or incident that has just taken place or is taking place whereas information is general and is not that urgent

• News is meant to make people aware of their surroundings, people, and events taking place whereas information is regular pieces of facts that do not change with time.
 
Wana JF mwaka huu na miaka ijayo tutaona na tutasikia mengi.

Magu alisema yeye hapangiwi na haambiwi kitu cha kufanya na wala hawezi kusikiliza hisia, sasa leo hii yeye anataka kuwapangia wahariri wa habari nini waandike maana amesoma headline kwenye magazeti anaona haiendi kama anavyotaka yeye sasa nini waandike kwenye magazeti maana yaliyoandikwa yanamkera,

Hivi yeye anawalipa wahariri, au wahariri ndio wanaomlipa kodi baada ya kuuza kile walichoandika kwenye media, je ni vyakwake na alinunua yeye? Kwann anakerwa na yanayoandikwa na asikerwe na kile wananchi wanaona kinawakera au tabia za mtu binafsi anayefanya naye kazi zinawakera. Kumbe anataka anachokisema na anachotaka yeye ndio kiandikwe na kinacho wakera wananchi kibaki hivyo hivyo tabia za watu wake zinazo kera wananchi tukomae na tukubaliane nazo hivyo hivyo kweli? Nafikiri kuna haja ya yeye kufungia media zote na anunie mashine zake na mitambo ili ifanye kazi na kuandika kama anavyotaka. Kweli si kweli.
 
Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?
"News report" na siyo labda inspection report or so. i.e. a report presenting news and news only not any other thing.
 
Na yale maigizo ya bandarini ni taarifa ambazo sio muhimu kufahamu.
 
Na yale maigizo ya bandarini ni taarifa ambazo sio muhimu kufahamu.
Ule ujinga sikuupa kipaumbele chochote , kimsingi yule hakukamata bali alionyeshwa vilivyokamatwa na wengine , sijui kwanini amejifanya kakamata yeye ?
 
Tuangalie huku na kule, lakini kauli za muheshimiwa sasa, zinatishia maendeleo ya jamii.
 
kwani vyombo hivi vimefunguliwa ama kuendeshwa na ruzuku ya serikali yeye aende akajambe huko uhuru publication na Tanzania News Standard anaowalipa . mie chombo changu nimeanzisha mwenyewe sikuomba mkopo kwa mtu najiamini asiniingilie tena akifanya hivyo ndo napoteza kabisa. Vijana wangu wa NEWS room nasema chapeni kazi bila kuogopa mimi bosi wenu niko na nyinyi mtu yeyote asiwatishe akiendelea na haya madrama yake kama ya jana na yeye mnambashite tuu . sitaki fyokofyoko kwenye media yangu
Mkuu hajui tukiandika habari zake na za Daud, tunalala njaa maana magazeti hayanunuliwi! Yeye anauhakika na maisha yake kwa kodi yangu! Leo anipangie cha kuandika na huku sijavunja sheria! Yeye nani anampangia majukumu yake? Yeye hajui kuwa media zinalindwa na Sheria yake, haende haende kwenye magazet yake ya uhuru yanayomsifia kila siku sio yakwetu, maana yapo kisheria na tunalipa kodi inayompa yeye mshahara halafu anatudharau! Wakati mimi mda mwingine nalala njaa! Yaani sijawahi kuona..... Msemo wa Tundulisu. Sirudii kosa, tukutane 2020
 
Ameshangaa habari za makontena aliyokamata bandarini kupewa umuhimu wa tatu. Hivi rais ni mwandishi wa habari?
 
kila siku teuzi sijui atarekebisha uchumi lini.....rais gani ukitofautiana tu na mtu kimtazamo una msitepisha down unateua mwingine.
Hamna maendeleo pasipo mawazo tofautitofauti
Hiyo ni hatua ya kwanza kwenye ujenzi wa viwanda. Kila siku ni kuteua, kuapisha na kutengua
 
Mkuu hajui tukiandika habari zake na za Daud, tunalala njaa maana magazeti hayanunuliwi! Yeye anauhakika na maisha yake kwa kodi yangu! Leo anipangie cha kuandika na huku sijavunja sheria! Yeye nani anampangia majukumu yake? Yeye hajui kuwa media zinalindwa na Sheria yake, haende haende kwenye magazet yake ya uhuru yanayomsifia kila siku sio yakwetu, maana yapo kisheria na tunalipa kodi inayompa yeye mshahara halafu anatudharau! Wakati mimi mda mwingine nalala njaa! Yaani sijawahi kuona..... Msemo wa Tundulisu. Sirudii kosa, tukutane 2020
Now you are speaking,
 
Sina mda huo, kuna game nacheza kwenye simu yangu.
MTU AKIWA CCMi UKAMUONA ANAJUA UKWELI NA AKATUMIA NJIA KUUFICHA HUKU AKIJIFANYA ANADAI HAKI JUA NI MNAFIKI!!!.......ONA HII......."“It was not something good,” ..... ... However, it is not clear whether the gunman was a plain clothes police officer or not."
HAPA NI DHAHIRI FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE??.....KWA FAIDA YA NANI??...CCM??...ILI IWEJE???
http://revenuebrust.com/?refcode=11566
 
rais kilaza , bashite kilaza mna wanajitia wanania njema kumbe wanajinufaisha hvyo wajue watanzania s wajinga hata kidgo mna wao ndo wajinga wako wapi waliofukuzwa kwa kufoji vyeti LEO BASHITE KAFOJI AJACHKUA UAMUZI NI WAZI NI UPENDELEO WA HALI YA JUU TENA WENYE KUPITILIZA LEO TENA BADO MUHIMILI WA NNE WA SERIKALI UNCHEZEWA HIVYO WWE SI RAIS MWENYE MSIMAMO BALI NI RAIS MJINGA USIEJUA NNI ULIFANYALO MNAA KWA MDA MFUPI UMEBADILISHA WATU KWENYE BARAZA LKO JE KILA MTU ULIEMTOA ULIKUWA NA BIFU NAE PIA HVI UMESAHAU SWALA LA AJIRA MNAA WATU WAKO MTAANI HAWANA AJIRA BASI AJIRA HUTOI HVYO WAWEZESHE HATA MTAJI JAPO KIDGO ILI VIJANA TUJIAJIRI NALO HILO HUTAKI UMEKAA IKULU UKICHEKI SHILAWADU WALE ULIOWAPONDA NA TENA BADO HAITOSHI UNAONA RAIA WAKO KMA WAJINGA NA UNADAI WASIKUPANGIE NNI CHA KUFNYA PIA TAMBUA RAIS NI TAASISI NA S CHOMBO CHKO WWE NA FAMILIA YAKO HVYO ENDELEA KUMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUNYANYASA RAIA NA KUFNYA ULITAKALO ILA DAWA YAKO SOON IKO KARIBU KUCHEMKA NA UKAE UTAMBUE HII NCHI S YA WASUKUMA PEKE YAKE BALI NI NCHI YA WATANZANIA WOTE HVYO WAJINGA WAWILI NYINYI MSITUHALIBIE NCHI NI VYEMA MTUACHIE NCHI SAFI NA WALA HATUTAKI MACHAFUKO
Unatumiaga kinywagi? yaani utulize kiu tuu maana maneno hayo sio mchezo 😀😀😀umeipooza roho yangu 😛😛😛
 
Wale tuliojaliwa hisia ya sita(sixth sense) tunamuona rais mwenye mapenzi ya dhati na nchi yetu, rais anayepigana na kikundi cha watu wachache ambao walikuwa wamefikia hatua ya kuigeuza nchi kama chapati! Kikundi ambacho kwa ukwasi wake wa pesa kilikuwa na uhakika wa kumuweka MTU wa kulinda maslahi yao kuanzia vyombo vya ulinzi, mabenki, vyombo vya sheria, taasisi za dini,nk.
JPM amewasapraizi wanakikundi hawa kiasi kila wanapogusa panateleza, kibaya zaidi kundi hili linatumia mbinu zilezile za tangu enzi, wameishiwa pumzi!

Kila la heli JPM, kazi uliyobakiza ni nyepesi sana, rekebisha huko juu huku chini tutajipanga wenyewe tu.
Utawala wa kipumbavu dunia ya leo unazuia watu wasijadili utendaji wako? Unaonekana wazi kubeba lawama ya mtendaji wako ambaye amefanya upuuzi wa kiwango cha juu kabisa.halafu unaniambia eti unamwelewa. Tanzania imempata rais wa hovyo kuliko wote waliopita.
 
Jamani ndugu zangu watanzania hii ni 2017 hatuwezi kuishi kama tuko miaka ya 1950? Lazima twende na ulimwengu unavyotaka sisi tunaishi tayari ipi
 
Unaposema hupangiwi na MTU lakini wewe unataka kupangia watu habari za kuandika... Tanzania kweli ni nchi ya vi-wonder! Sad
 
Back
Top Bottom