Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Watch it!



1. Inf. Be careful.

Rachel: Watch it! There's a broken stair there. Jane: Gee, thanks. Mary: Watch it! There's a pothole in the street. Bob: Thanks.

2. Inf. Do not act or talk that way.

Sally: I really hate John! Sue: Watch it! He's my brother! Bill: You girls always seem to take so long to do a simple thing like getting dressed. Mary: Watch it!


OKW BOBAN SUNZU, hii lugha imekuja na meli kwetu sote, lakini jaribu kufuatilia tu. Sote tunajifunza.
 
rais wa nini? wa simba, wa yanga, wa tff? halafu huyo rais wako unayemkosea, shule ameenda? ana level gani? alitumia lugha gani kwenye shule yake? kiswahili?....atashindwaje sasa kuongea vizuri wakati alitumia kiingereza (kama ndio ilikuwa lugha yake ya masomo) kama anashinda kuongea vizuri, ataweza kutoa hoja nje ya nchi?
Mbna povu linakutoka Mzee wa kijani kibichi
 
Juzi wakati rais anawaapisha mawaziri wapya pale ikulu nilimsikia rais akitumia maneno "Watch it" akiwaonya waandishi wa habari kuhusu mienendo yao katika habari. Kwa uelewa wangu rais alikuwa akiwaambia waandishi "wawe macho.....wachunge sana".

Kwa hiyo haikuwa sahihi kutumia neno la Kingereza " watch it"....badala yake angetumia maneno "Watch out''

Meaning of "Watch Out"
... to be alertly on the lookout, lookattentively, or observe, as to see what comes, is done, or happens: to watchwhile an experiment is performed. to look or wait attentively and expectantly (usually followed by for): to watch for a signal; to watch for an opportunity.
Watch out, watch it or watch yourself is correct. Read further at collinsdictionary.com. Kiingereza chenu cha kukariri kitawapeleka kubaya.
 
sasa mzee anataka kwenye habari atoke yeye tu
 
Nimemtuma Kinana akatibiwe, mmh kwa hiyo Kinana alikuwa haumwi? Ilibidi aumwe baada Mhe. Rais kumtuma?

Nimemtuma Zaidi ya siku 10, Umekuwa daktari wewe unajua mgonjwa anatoka lini hospitalini? Na mimi nitume huko India.

Mr. President we ARE not kids any more this 21 century know that.

Namuwazia mwanangu juu wa Tanzania atayokuja kuishi yenye mifumo mibovu na demkrasia mbovu, mifumo ya elimu ni duni mwenye uwezo kiuchumi ndio anasoma. Mwanangu tukishindwa kubadilisha hii mifumo naomba uje kuhamisisha kizazi chenu waje kuibadiisha Tanzania

Utanzania ni sawa na mkimbizi, maana kama hisia za watanzania na mawazo ya watanzania vyote kwa ujumla havisikilizwi kuna utofauti gani na mkimbizi?

Mtazidi kuwadanganya watanzania lakini hii sio kama Tanzania aliyokuwa anaingoza Hayati Nyerere au Mzee Mwinyi, viongozi hawataki kubadili staili na mifumo ya uongozi watanzania wa mwaka 1961-2000 si sawa na wa mwaka 2016, 2017 na kuendelea hii ni karne ya 21 yapasa mtambue hilo watanzania si wajinga tena mtambue hilo, watapo-onewa watapaza sauti, wakidanganywa watajua na wakikandamizwa watapaza sauti pia hata isipo sikika ndio mngojee hasira ya watanzania siku ikifika, hawataogopa polisi au jeshi au mabomu ya machozi au kufa.
 
Back
Top Bottom