Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Ameshangaa habari za makontena aliyokamata bandarini kupewa umuhimu wa tatu. Hivi rais ni mwandishi wa habari?
Hapana yeye si mwandishi wa habari.
Yeye ni mwanasiasa anayejaribu kushindana unaarufu na Diamond & Kiba ndio maana alipoona Nape kashine yeye akenda kuoneshwa makontena akadai kwamba kakamata.

Narudia tena, anko sio mwandishi wa habari.
 
Hiyo ni hatua ya kwanza kwenye ujenzi wa viwanda. Kila siku ni kuteua, kuapisha na kutengua
Ukiangalia viwanda vya kisasa utaona kuna robot inaitwa Pick and Place. Insemekana waTZ wengi hamjahawahi kuziona au kuziexperience. Yeye kama Rais kaamua kuwaonesha mfano "Teaua and Tengua". Pale viwanda vitakapokuja, mtaanza kazi badala ya kushangaa robots maana at least mtakuwa mmezoea.
 
1.Mgonjwa anapelekwa mgonjwa hatumwi

2.Ngumu kujua mgonjwa atakaa siku ngapi madaktari hukadiria na pia kulingana na hali ya mngonjwa

4.Kama ni regular check up haiwezi kufika siku zaidi ya 12 yani hapo tunazungumzia wiki 2

5.Siku nyingi tafsiri ni ugonjwa mkubwa au dharura imemtokea

Mwisho tunamuombea kwa Mungu amponye na arudi salama
 
Huyu Mzee sio bure!!! Yaani kaona watu wamezipotezea drama zake za bandarini ndo imekuwa nongwa!!! Ndo maana watu tulisema kabla pale bandarini hapakuwa na chochote zaidi ya kutaka kuwageuza waandishi misukule! Akidhani wangetoa coverage kwenye drama za bandarini na kuacha habari za kumtumbua aliyemkemea Jambazi Daudi Albert Bashite!!
 
hakuna uhuru usio na mipaka
vyombo vya habari hasa Clouds Fm hasa kipindi cha XXL na Efm kumekuwa na vijembe vinarushwa kwa RC mara kwa mara hii inaashiria kweli hawa kitu walikuwa nalao jambo
 
Mheshimiwa Rais ameongea vizuri sana na nimemuelewa.

Waandishi wa habari mbadilike si kwa sababu Rais kasema bali hata sisi wananchi tunaona mnavyokomaa na habari za kidaku kuliko habari zenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.

Taifa kwanza mambo mengine baadae.

Mtaeleza nini vizazi vijavyo????au mnadhani watoto wenu watakwenda kuishi sayari ya Mars?????kuweni makini.
Mkuu wewe jikite kusoma gazeti la Uhuru lina habari zitakazokufurahisha wewe na Pombe.

Sisi tuache na magazeti yetu ya udaku.
 
rais kilaza , bashite kilaza mna wanajitia wanania njema kumbe wanajinufaisha hvyo wajue watanzania s wajinga hata kidgo mna wao ndo wajinga wako wapi waliofukuzwa kwa kufoji vyeti LEO BASHITE KAFOJI AJACHKUA UAMUZI NI WAZI NI UPENDELEO WA HALI YA JUU TENA WENYE KUPITILIZA LEO TENA BADO MUHIMILI WA NNE WA SERIKALI UNCHEZEWA HIVYO WWE SI RAIS MWENYE MSIMAMO BALI NI RAIS MJINGA USIEJUA NNI ULIFANYALO MNAA KWA MDA MFUPI UMEBADILISHA WATU KWENYE BARAZA LKO JE KILA MTU ULIEMTOA ULIKUWA NA BIFU NAE PIA HVI UMESAHAU SWALA LA AJIRA MNAA WATU WAKO MTAANI HAWANA AJIRA BASI AJIRA HUTOI HVYO WAWEZESHE HATA MTAJI JAPO KIDGO ILI VIJANA TUJIAJIRI NALO HILO HUTAKI UMEKAA IKULU UKICHEKI SHILAWADU WALE ULIOWAPONDA NA TENA BADO HAITOSHI UNAONA RAIA WAKO KMA WAJINGA NA UNADAI WASIKUPANGIE NNI CHA KUFNYA PIA TAMBUA RAIS NI TAASISI NA S CHOMBO CHKO WWE NA FAMILIA YAKO HVYO ENDELEA KUMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUNYANYASA RAIA NA KUFNYA ULITAKALO ILA DAWA YAKO SOON IKO KARIBU KUCHEMKA NA UKAE UTAMBUE HII NCHI S YA WASUKUMA PEKE YAKE BALI NI NCHI YA WATANZANIA WOTE HVYO WAJINGA WAWILI NYINYI MSITUHALIBIE NCHI NI VYEMA MTUACHIE NCHI SAFI NA WALA HATUTAKI MACHAFUKO
Dah! Umesababisha huu uzi niufollow,, aseee! Mulemule,
 
Bahati mbaya sana wametuletea mtu ambaye ni 'crude oil'. Jamaa mzuri sana wala sio kidogo lakini hakuandaliwa na hasa kwenye yafuatayo;

1. Emotional Intelligence( tafsiri ya kubahatisha ni uwezo wa kihisia(akili ya kihisia))
2. Kiongozi huongoza na kisha wafuasi wanamfuata (Leadership by influence and not by coercion)
3. Kuwa msikivu zaidi kuliko kuongea. Na kufanya 'informed decision'(maamuzi baada ya kupata taarifa ya kutosha)
4. 'what goes around comes around' (Alichopanda Nape Nnauye, sasa hivi amekivuna, Hata Lowassa amevuna tayari, sasa na yeye atakuja kuvuna tu..)
5. Hatari ya 'double standards', historia itamkumbuka Magufuli kwa kumtetea mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine baada ya kufeli(Kufoji vyeti) na huku kuna maelfu waliofukuzwa kazi, wengine hawana kazi, wengine wamefungwa kwa sababu ya kufoji vyeti au kutumia majina ya wengine. Akumbuke hotuba yake kule bandarini kuhusu vyeti feki na ndipo azungumzie kuhusu 'msema kweli ni mpenzi waMungu'. Asifikiri Mungu ni Makonda.Mungu hadhihakiwi.
6. "You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time." - Abraham Lincoln
7. Bila kulindwa na Mungu, huyounayemwamini sana kwamba anakulinda ndiye atakayekuua. Hivyo usijiamini sana. Utende haki ambayo ni haki kweli na Mungu atakulinda. Lakini unachofanya sasa, ni hatari sana hata kwako.

CCM wameacha viongozi walioandaliwa, wakatumia kamari kupata Rais. Matokeo yake tuna mgonjwa wa hisia anatutawala. Magufuli sio mgonjwa wa akili ya kawaida kama wengi wanavyosema. Ila ana 0% emotional intelligence.

Kiongozi bora ni yule mwenye si chini ya 70% emotional intelligence.
 
Freedom of the press protects the right to obtain and publish information or opinions without government censorship or fear of punishment. Censorship occurs when the government examines publications and productions and prohibits the use of material it finds offensive. Freedom of press applies to all types of printed and broadcast material, including books, newspapers, magazines, pamphlets, films and radio and television programs.The Constitution's framers provided the press with broad freedom. This freedom was considered necessary to the establishment of a strong, independent press sometimes called "the fourth branch" of the government. An independent press can provide citizens with a variety of information and opinions on matters of public importance. However, freedom of press sometimes collides with other rights, such as a defendant's right to a fair trial or a citizen's right to privacy. In recent years, there has been increasing concern about extremely aggressive journalism, including stories about people's sexual lives and photographs of people when they were in a private setting.
 
kila siku teuzi sijui atarekebisha uchumi lini.....rais gani ukitofautiana tu na mtu kimtazamo una msitepisha down unateua mwingine.
Hamna maendeleo pasipo mawazo tofautitofauti
Mwacheni JPM afanye yake, nyinyi kama mna hamu mgombee hiyo nafasi. Uchaguzi unafanyia kila baada ya miaka mitano.
 
Vyombo vya habari vinavyoenda kureport hilo tukio vimemsaliti Nape!! Alitumbuliwa kwa kuwatetea nyie tena mnamsaliti? Kweli Tanzania akili zetu hata tusome hatuna tofauti na nyumbu!!!!
Say about yourself.
 
Back
Top Bottom