mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Wacha weeeMwacheni JPM afanye yake, nyinyi kama mna hamu mgombee hiyo nafasi. Uchaguzi unafanyia kila baada ya miaka mitano.
Wacha weeeMwacheni JPM afanye yake, nyinyi kama mna hamu mgombee hiyo nafasi. Uchaguzi unafanyia kila baada ya miaka mitano.
Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.
Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========
Mawaziri Dkt Harisson Mwakyembe na Palamaganda Kabudi wameshaapa, wanaoapa kwa sasa ni mabalozi wanaonda kuwakilisha katika nchi mbalimbali.
======
Anaeongea kwa sasa ni Rais Magufuli na kuwapongeza wote walioteuliwa. Amewaambia wasitegemee mazuri sana kwa kazi huwa zina lawama hasa kwa Tanzania ambapo kuna grupu la watu wao siku zote ni kulalamika.
Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu.
====
Usiniite kilaza bwana, ukitaka kumjua kilaza wa taifa nani nenda kwa Gwajima atakwambiaUnawasaifia gharama au, vitu vingine siyo vya kulalamikia media siyo yako gharama hulipi wewe sasa wanakukera kitu gani anzisha media yako uone kama kuna mtu atakulazimisha ufanye kama anavyofanya azam. Punguza basi ukilaza.
Mi nimekerwa why azam hawaonyeshi bunge live lkn wanaonyesha live jpm hata kwa habari zisizotakiwa, kama wamenyimwa kuonyesha live bunge inabidi media zote ziungane zisionyeshe live ishu sa jpmUnawasaifia gharama au, vitu vingine siyo vya kulalamikia media siyo yako gharama hulipi wewe sasa wanakukera kitu gani anzisha media yako uone kama kuna mtu atakulazimisha ufanye kama anavyofanya azam. Punguza basi ukilaza.
He also said Frent ford, may be he meant front pageHe is the damn president.., am sorry this is just too much slack for one day of effn slacks..,
How about FRENT FORD? kupanic nako nishida, alimaanisha Front page ya magazeti ya siku hiyo.Come on now...I think he just tripped over his words.
He probably didn't mean it that way [the way it came out].
We already know he doesn't have the gift of gab.
I cut him some slack for that.
If we keep cutting him more slack well he will take it and repaond in kind by being even more lousy.He also said Frent ford, may be he meant front page
Ndo zake kuchemka, ht mwanangu wa kindergatten alimckia na hilo fyongo akaniuliza....Juzi wakati rais anawaapisha mawaziri wapya pale ikulu nilimsikia rais akitumia maneno "Watch it" akiwaonya waandishi wa habari kuhusu mienendo yao katika habari. Kwa uelewa wangu rais alikuwa akiwaambia waandishi "wawe macho.....wachunge sana".
Kwa hiyo haikuwa sahihi kutumia neno la Kingereza " watch it"....badala yake angetumia maneno "Watch out''
Meaning of "Watch Out"
... to be alertly on the lookout, lookattentively, or observe, as to see what comes, is done, or happens: to watchwhile an experiment is performed. to look or wait attentively and expectantly (usually followed by for): to watch for a signal; to watch for an opportunity.
KibongobongoIli mradi ulirlewa tu. . . .[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka hii ktk kumbukumbu zenu 2020 muwakumbushe wananchi ktk kuomba kura kuwa rais badala ya kusema WATCH OUT alisema WATCH IT, hivyo muwasihi wasimchague kwa fallacy hii.Juzi wakati rais anawaapisha mawaziri wapya pale ikulu nilimsikia rais akitumia maneno "Watch it" akiwaonya waandishi wa habari kuhusu mienendo yao katika habari. Kwa uelewa wangu rais alikuwa akiwaambia waandishi "wawe macho.....wachunge sana".
Kwa hiyo haikuwa sahihi kutumia neno la Kingereza " watch it"....badala yake angetumia maneno "Watch out''
Meaning of "Watch Out"
... to be alertly on the lookout, lookattentively, or observe, as to see what comes, is done, or happens: to watchwhile an experiment is performed. to look or wait attentively and expectantly (usually followed by for): to watch for a signal; to watch for an opportunity.
rais wa nini? wa simba, wa yanga, wa tff? halafu huyo rais wako unayemkosea, shule ameenda? ana level gani? alitumia lugha gani kwenye shule yake? kiswahili?....atashindwaje sasa kuongea vizuri wakati alitumia kiingereza (kama ndio ilikuwa lugha yake ya masomo) kama anashinda kuongea vizuri, ataweza kutoa hoja nje ya nchi?Juzi wakati rais anawaapisha mawaziri wapya pale ikulu nilimsikia rais akitumia maneno "Watch it" akiwaonya waandishi wa habari kuhusu mienendo yao katika habari. Kwa uelewa wangu rais alikuwa akiwaambia waandishi "wawe macho.....wachunge sana".