Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hivi ujenzi umeanza kusimamiwa lini na mbunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yenye mashiko kama itawakilishwa vizuri kwa wapiga kura, ila kwa tafsiri kuwa ni maendeleo ya vitu, hakika upinzani utakuwa unajiondoa mapema kwenye ushindani.Pesa za walipa kodi ndizo hutekeleza maendeleo lakini CCM huwakomoa kwa kuzuia maendeleo kwa makusudi ni aina ya matumizi mabaya ya madaraka na pesa za walipa kodi acheni ubaguzi wa maendeleo
Mara choo hoyee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo safari nzima ya uncle ilikua ni full comedy, usisahau ile "jogoo hoyeeeeeeeeee"
Kwahiyo wabunge wote wa CCM wamefanya vizuri 2015-2020?Maana hajamfukuza hata mmoja kwenye chama! Maneno kama hayo yakibaguzi JPM alishayatoa huko Kilosa akidhani mbunge wa eneo hilo ni wa upinzani, anakuja kuambiwa akaona aibu! Hili jitu lina roho mbaya kiasili!Amesema wachaguliwe watu ambao anaweza kuwawajibisha wakifanya ndivyo sivyo hata kuwafukuza kwenye Chama
Alafu ndo iloilo linasemaga maendeleao hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vituko show yaanMara choo hoyee
Deep sana hii mpaka machozi yamenijia kwa hisia
Nasikia Mtama, Kishapu, Iramba, Mtera... sijaisema Kongwa wala kule kwa mtangazaji maarufu "katiba ibadilishwe .. kusiwe na uchaguzi..!" zimeendelea sana!!!Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Baba anafunza wanae kubaguana!!Muda si muda mnamkuta kanisani akisema “Watanzania mniombee” this is unbelievable! Kauli za kibaguzi mdomoni mwa Rais wa nchi tena zikijirudia rudia.
Kuna kura za chuki/woga zaja uchaguzi huu...Kashasahau alisema maendeleo hayajali chama?
Wamchinje kwenye kura tu.
Awamu hii... 🙂 🙂Hivi ujenzi umeanza kusimamiwa lini na mbunge?
Dar es Salaam Tanga na Kigoma walitekeleza ilani ya UKAWA?ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake
Amesema kwasbbu wakikosea anaweza kuwaajibisha ndani ya chama. Sasa hao wa Vyama vingine anawezaje? Hiyo ndo concept yakeDu kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Tatizo ni kwamba kura zitakavyopigwa vyovyote, zinaweza kuharibiwa tu.Kuna kura za chuki/woga zaja uchaguzi huu...
Tutawasikia kwenye kampeni...
Watu wasijikane tu...