Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

niliwahi kusikia kata ya tungi morogoro mjini imenyimwa barabara kwa sababu ya kuchagua chadema sasa naamini

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Mbona sasa maendeleo yana chama
 
Nikikumbuka kule Kilosa alianza kuropoka ropoka kama kawaida yake kuwa mbunge wa upinzani hajawaletea maendeleo akaambiwa kuwa mbunge ni wa CCM akaanza tena kujiuma uma ndipo nilipomuona huyu Rais hata kuongoza tu familia yake hafai! Ni hopeless kabisa!
 
Hizi kauli ni chafu! Kauli chafu nionavyo mimi ni sawa sawa na matusi, naye alisha tamka hataki matusi. Basi ni vyema tubaki na chama kimoja au lipi jema?
 
Uchama alhali maendeleo hayana chama. Hapo mkurugenzi na DC sio kazi zao kuleta maendeleo? Ila diwani na mbunge wa ccm kazi ipo.
 
Ila sio kauli thabiti inayonenwa na mkulu wa nchi. Ubaguzi wa kiitikadi.
 
Maendeleo hayana chama basi na sie tunamchinjia baharini kwa kutopandisha mshahara ,kuzuia NSSF/PPF ,kutowapa stahiki zao wenye vyeti feki , kutudanganya na mil 50 , kutotupa laptop walimu , kuyumbisha uchumi etc
 
Muda si muda mnamkuta kanisani akisema “Watanzania mniombee” this is unbelievable! Kauli za kibaguzi mdomoni mwa Rais wa nchi tena zikijirudia rudia.
Mimi hili ibilisi siwezi kuliruhusu kukanyaga kwenye kanisa langu kamwe!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha alijawa na aibu kiasi gan, tobaaaaaah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…