Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sasa hadi Oktoba ni parefu, chochote kinaweza kutokea.Sijui Kwanini asingekuwa huyu badala ya yule!
Ukisikia dish limeyumba ndio kama hivyoKwahiyo wabunge wote wa CCM wamefanya vizuri 2015-2020?Maana hajamfukuza hata mmoja kwenye chama! Maneno kama hayo yakibaguzi JPM alishayatoa huko Kilosa akidhani mbunge wa eneo hilo ni wa upinzani, anakuja kuambiwa akaona aibu! Hili jitu lina roho mbaya kiasili!
Hivi Serikali huwa haikusanyi kodi toka majimbo yenye wabunge wa upinzani? Ni swali tu.
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA
Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari
Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao
Rais Magufuli amesema haya...
Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi
Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.
Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.
Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?
Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.
Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Duh! Kumbe kampeni zimeisha anza!Baba lina roho mbaya hatari.
Kabisaaaah mkuuhHuyu mzee mshamba sana, it's sad kua watu hawalioni hilo, siwalaumu coz na wao washamba. We still have a long way to go kama nchi.
Hata sijawahi kuelewa Ben why magufuli awe pendekezo la chinga khaaaaahEti huyu ndio alikuwa chaguo la hayati ben
Huyu ndio mgombea pekee anayekubalika n TISS na Vyombo vingine vya Dola.Mh .Rais asaidiwe cha kuongea,hao wasaidizi wake wanafanya kazi gani kama anaweza kuongea vitu vya ajabu kiasi hiki!!!
Kwa kuwa umehitimisha kwa tusi, sishabikii wala kujihusisha na ubishani wa aina hiyo "wrong number".Tuambie maovu ya bwana bwege?
Ndo maana sipendi kubishana na mataga
Yaani uzur na ubaya wa wananchi wanajua baya lipi na zuri lipi,lipi ubaguzi na lipi si ubaguzi kwa hiyo kila mmoja anaakili zake.
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA
Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari
Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao
Rais Magufuli amesema haya...
Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi
Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.
Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.
Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?
Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.
Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Tusi wapi?Kwa kuwa umehitimisha kwa tusi, sishabikii wala kujihusisha na ubishani wa aina hiyo "wrong number".
tunakazi kwelikweli,sasa asichukue Kodi kwenye majimbo ya wapinzani ,anachukua za nini,akusanye Kodi kwenye majimbo ya ccm