Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Kwahiyo wabunge wote wa CCM wamefanya vizuri 2015-2020?Maana hajamfukuza hata mmoja kwenye chama! Maneno kama hayo yakibaguzi JPM alishayatoa huko Kilosa akidhani mbunge wa eneo hilo ni wa upinzani, anakuja kuambiwa akaona aibu! Hili jitu lina roho mbaya kiasili!
Ukisikia dish limeyumba ndio kama hivyo
 
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA

Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari

Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao

Rais Magufuli amesema haya...

Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi

Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.

Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.

Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?

Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.

Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Hivi Serikali huwa haikusanyi kodi toka majimbo yenye wabunge wa upinzani? Ni swali tu.
 
Yeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.
 
Jamani nauliza hiviii, lile bunge jangili la wanyama pori lililokamatwa na silaha kibao utafikiri linaendesha kikosi cha waasi kule kanda ya ziwa lilishafukuzwa kwenye chama chetu pendwaa?
 
'…Si mmeamua kumchagua Bwege…shauri yenu na Bwege wenu…'
Hahahaha

Uchaguz huu chagueni kati ya Stendi au Bwege
 
Kuacha siasa,Kuna watu wana asili ya roho mbaya. Sasa za hivi ni hatari saana. Tumuombee huyu ndugu kwa kauli zake tata. Mbona ccm ilikuweoo toka enzi hizi lakini umaskini uko hadi hivi leo mfano dodoma
 
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA

Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari

Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao

Rais Magufuli amesema haya...

Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi

Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.

Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.

Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?

Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.

Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Yaani uzur na ubaya wa wananchi wanajua baya lipi na zuri lipi,lipi ubaguzi na lipi si ubaguzi kwa hiyo kila mmoja anaakili zake.
 
tunakazi kwelikweli,sasa asichukue Kodi kwenye majimbo ya wapinzani ,anachukua za nini,akusanye Kodi kwenye majimbo ya ccm
 
Muheshimiwa rais ulisema kwa kauli yako ata mwenyewe nayo kumbukumbu iyo kwamba ukisema maendeleo hayana chama Leo unawakataa walipa kodi wako kwamba stend ajenge walio mchagua imaana hii imenipa pcha moja ambayo n ya ukweli kwamba hawa uliwafanyia makusudi tu sina imani tena na wewe
 
.
Facebook%20media%20-%202628782040678816%20(%20320%20X%20320%20).jpg
 
Back
Top Bottom