Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Serikali inakusanya kodi kwa watanzania wote.

Hii kauli ya kuwapelekea wabunge wa ccm makusanyo ya walipakodi halali nchi nzima nikudharau Utukufu na ukuu wa Mungu kutupa mitazamo na utashi usio lingana.

Mungu hadhihakiwi
 
Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Kwa maneno ya Rais Magufuli andai kama Bwege angekuwa CCM angemfukuza uwanachama ana uwezo wa kumuadabisha.Lakini kwa sasa hawezi walimalize wao wenyewe.
 
Amekuwa akitamka kauli za namna hiyo Mara nyingi sana kwenye majimbo yanayoongozwa na vyama vingine.

Ni kauli isiyokubalika na haijengi.

Kama vipi warejeshe mfumo wa chama kimoja maana naona ndio Magu anataka hivyo. Ni kutengua tu ile ibara ya Katiba inayosema kuwa Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi. Ili udikteta ukamilike.

Kukosa busara na hekima kwa kiongozi ni janga kubwa sana.


JESUS IS LORD!
 
Kwa maneno ya Rais Magufuli andai kama Bwege angekuwa CCM angemfukuza uwanachama ana uwezo wa kumuadabisha.Lakini kwa sasa hawezi walimalize wao wenyewe.
Anashindwa kufanya mawasiliano na Wenyeviti wa vyama vingine ili wawajibishe wabunge wao kama hawawajibiki?
 
Huyo ndiye JPM halisi wengine wote fotokopi. Hati Maendeleo hayana vyama-wakati mtu anaonyesha ubaguzi wazi wazi. Tumuache yeye na Joni Mchungaji na Mzee Mgaya wanataka kutuamunisha kuwa maendeleo hayana vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…