Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake
Kwakweli kungekuwa na rimoti ya kupeleka miaka mbele, hii ya 2020 to 2025 tungeipeleka mbele.
Kwa maneno ya Rais Magufuli andai kama Bwege angekuwa CCM angemfukuza uwanachama ana uwezo wa kumuadabisha.Lakini kwa sasa hawezi walimalize wao wenyewe.Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Du kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Anashindwa kufanya mawasiliano na Wenyeviti wa vyama vingine ili wawajibishe wabunge wao kama hawawajibiki?Amesema wachaguliwe watu ambao anaweza kuwawajibisha wakifanya ndivyo sivyo hata kuwafukuza kwenye Chama
Anashindwa kufanya mawasiliano na Wenyeviti wa vyama vingine ili wawajibishe wabunge wao kama hawawajibiki?Kwa maneno ya Rais Magufuli andai kama Bwege angekuwa CCM angemfukuza uwanachama ana uwezo wa kumuadabisha.Lakini kwa sasa hawezi walimalize wao wenyewe.
Kwani wabunge Wa ccm wanawajibika nini, ubabaishaji mtupuAnashindwa kufanya mawasiliano na Wenyeviti wa vyama vingine ili wawajibishe wabunge wao kama hawawajibiki?
Amesema wachaguliwe watu ambao anaweza kuwawajibisha wakifanya ndivyo sivyo hata kuwafukuza kwenye Chama
Na Kodi inalipwaje mkuu?ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake
Kwangu lissu asipopitishwa na chama chake sipigi kura kamwe, siwezi chagua rais mbaguzi kama Jpm kamwe.Yeye anachojua Ni kudai kodi tu..maendeleo anabagua.Bado kuna watu nawaaita wapumbavu watampa kura Oct. 28 mtu mwenye maneno yasiyo na ubinadamu!