Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Magu akiongea huwa hana makosa lakini wapinzani wakisema maneno kama haya wataswekwa ndani. Mkuu wa nchi hana nidhamu na heshima kwa viongozi wengine. Hii ni shida na watanzania tuamke. Kampeni za kujenga barabara na stendi zimetwa na wakati sababau baada ya miaka 58 wa UHURU wa Tanganyika mambo hayo yanatakiwa kuwa na mamlaka yake.Leo tuna kampeni ya kuchimba visima wakati wizara ya maji ipo. Tunaongelea habari ya umeme wakati ipo wizara husika. Huu ni ujinga na watanzania bado wapo usingizini.
 
Navyojua Tiss wapo kwa ajili ya watu wanaotishia amani ya nchi!
Kwanini safari hi wako kimya?.
 
Baada ya maneno hayo utasikia maendeleo hayana vyama!

I mean, sijui watu washike lipi
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje, kama upinzani unazuia kazi.zinazofanya na CCM kwamba watazidi kung'ara katika majimbo hayo wewe ufanyeje? Si unawaacha wafurahie matunda ya uchaguzi wao?
 
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA

Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari

Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao

Rais Magufuli amesema haya...

Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi

Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.

Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.

Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?

Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.

Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Kuongoza wajinga Kuna Raha yake
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje, kama upinzani unazuia kazi.zinazofanya na CCM kwamba watazidi kung'ara katika majimbo hayo wewe ufanyeje? Si unawaacha wafurahie matunda ya uchaguzi wao?
Ebu hakikisha usemi wako kuwa upinzani unazuia kazi.
 
Mbunge anaitwa Bwege ,hajafanya chochote mpk leo.mnataka Rais afanyeje ?
Akasimamie wahandisi kujenga stendi
Hapa Eclat sikuelewagi
Acheni kutetea upuuzi, hii ni chuki ya wazi na ubaguzi! Huko kilosa JPM alitumia kauli hizi hizi akijua jimbo ni la upinzani, alipokuja kujua ni la CCM aliona aibu na kupotezea kiaina! Rais wa hovyo kabisa,Bwege kampa anachostahili mropokaji huyu!
 
Kweli bwege Ni full comedian,..sijui alishindaje kwenye uchaguzi...wana kilwa mna maswali ya kujibu
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje, kama upinzani unazuia kazi.zinazofanya na CCM kwamba watazidi kung'ara katika majimbo hayo wewe ufanyeje? Si unawaacha wafurahie matunda ya uchaguzi wao?
Una akili kweli? Unajua kikao cha maamuzi kwenye halmashauri kina wajumbe gani? Msiwe mazezeta kiasi hicho kutetea upuuzi!
 
Magufuri ni rais wa hovyo hovyo sana .. nadhani ana laana ya wazazi ..ni mbaguzi wa kikanda kikabila kisiasa na kidini ..yaani sijui kwnn m/mungu asimtwae huyu mtu ..mtesaji , mtekaji na ni muuaji ...anaongea bila staha , hv zawadi ya kuku inakufanya umdhihaki mzazi wako??? Unamtafutia mume mama yako mzazi?? Daaah weee corona kwnn unaupendeleo?? Umemchukua nkurunziza lkn kwnn umemuacha John msumbufu?? Tutolee na huyu kabla ya October ...aseeee
Sijui Mama yake kajisikiaje, huyu mzee busara zake ni zero kabisa
 
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA

Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari

Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao

Rais Magufuli amesema haya...

Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi

Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.

Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.

Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?

Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.

Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.

Hili jambo linaanza kuota mizizi na si la kufurahiwa na mpenda maendeleo yoyote.Hii si mara ya kwanza Riasi kuonyesha kukerwa kwake na majimbo yanayoongozwa na upinzani,alikosea Kilosa akiamini jimbo la Prof Jay aliposhtuliwa akabadili gia papo kwa pao na juzi tena karudia.
 
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA

Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza. Mbunge wa jimbo hili aliyemaliza muda wake ni Seleman Bungara aka Bwege Mzee wa ''Umesikia Wapi'' ambaye alikuwa anatokea chama cha wananchi CUF Habari

Rais amezidi kusema kwamba miradi kama hiyo ni ya wabunge na Madiwani ndiyo wanapaswa kuisimamia hivyo kuwataka wabaki na Bwege wao

Rais Magufuli amesema haya...

Nilikuja hapa nikasema nichagulieni watu nitakaokuwa nawaagiza wanafanya ninayoyataka mkasema hapana, Mkamchagua Bwege basi shauri yenu na bwege wenu mwambie awatengenezee stendi

Kazi ya Stendi ni ya madiwani, wabunge. Ukikosea kuchagua, nafuu ukosee kuoa au kuolewa. Ukikosea kuchagua ni tatizo kubwa.

Na hili ndugu zangu niwaombe, muwe waangalifu katika kuchagua. Mchague watu ambao watakuwa kwa ajili ya watu masikini.

Tunatuma hapa fedha za road fund, tunatuma fedha hapa za halmashauri, zimeshindwa kweli kujenga stendi?

Lakini kwa sababu mnanichagulia, wao wenyewe mastendi unategemea mimi mwenyewe nifanyeje? Huo ndiyo ukweli sitaki kuwaficha mlikosea kuchagua.

Sasa katika uchaguzi wa mwaka huu mjipange vizuri, mchague mtu ambaye mtakuwa mmempa stendi akikataa nitamfukuza hata kwenye chama. Lakini leo nitamfukuza huyo aliyeko kwenye chama sijui hata yuko kwenye chama gani, nitamchukulia hatua gani?

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali na kuwahamasisha wananchi kukemea vikali kauli hizi za kibaguzi. Wamedai kuwa kitendo cha kuhamasisha ubaguzi na kuingilia mamlaka ya wananchi katika kuchagua mtu wamtakaye kinakiuka misingi ya Katiba yetu.
Hatari Sana ktk mfumo wa vyama vingi.
 
Amesema kwasbbu wakikosea anaweza kuwaajibisha ndani ya chama. Sasa hao wa Vyama vingine anawezaje? Hiyo ndo concept yake
Je ni wajibu wa chama kuleta maendeleo? Je "upinzani" wakijibu kauli za aina hiyo WATAWALA WATAWEZA KUUVUMILIA HUO "UTANI" WA KISIASA?
 
Naomba kujua hali ya Jimbo la Ndugai spika wa bunge na kada sugu wa CCM wanakula bata sana huko?
 
Yapo majimbo mengi ya CCM hayana maendeleo kabsa hata chato haikuwa na maendeleo mpaka alipoingia ikulu akachukua pesa za Rufiji kwenda kujenga chato Airport na maendeleo mengine
 
Back
Top Bottom