Hivi aliekwambia hawana haki ya kuswali nani? Mbona unabadilika? Mara Ijumaa sahv tena umebadilika mara kuswali, usiwe kinyonga! Nimekuuliza unazijua sharti za kuswali Ijumaa unakuja na hoja nyingine, acha kujifanya unaujua Uislam, waachie wenyewe waislam.Hao waliomshauri rais mpaka kufukiza hatua ya kujenga msikiti hapo Chamwino ni waislam kama wewe sasa usijidai wewe kuwa unaujua uislam kuliko wao.
Wasaidizi wa karibu kabisa wa Rais ni waislam na wanayo haki ya kuswali wakiwa eneo Lao la kazi.
Sihitaji kujua sharti la kuswali ijumaa kwani maishani mwangu sitegemei kuja kuswali ijumaa.Hivi aliekwambia hawana haki ya kuswali nani? Mbona unabadilika? Mara Ijumaa sahv tena umebadilika mara kuswali, usiwe kinyonga! Nimekuuliza unazijua sharti za kuswali Ijumaa unakuja na hoja nyingine, acha kujifanya unaujua Uislam, waachie wenyewe waislam.
كلب واحد!
Mlichovunja UDOM sio msikiti?Nongwa zote hizi kisa ni kuchangishana pesa ya ujenzi wa msikiti kanisani?. Pole sana.
Uliza kwanini walivunja wakati ule na sasa unajengwa mwingine.Mlichovunja UDOM sio msikiti?
Kwa hili hakuna ubaya ni vile wa tz wengi exposure ni zero,kwa sie tulioishi nchi za kiarabu wala hatulishangai sana maana huko nako mjue yapo makanisa na kuna waarabu wakristu...Waislamu wanajidharirisha sana yaani kanisa limepewa kazi ya kujenga msikiti hivi wanajielewa kweli hawa watu? Je Yale mafundisho wa mtume s.a.w wanayaelewa kweli au ndio lugha ya kiarabu imewafanya kukariri tu bila kureason
NAUSIKITIKIA UMMA WA KIISLAMU kama viongozi hawata paza sauti juu ya hili IPO siku nguruwe atauzwa msikitini na waislamu watamuogopa huyu mungu mtu
Walau wewe una hoja mkuuKwa hili hakuna ubaya ni vile wa tz wengi exposure ni zero,kwa sie tulioishi nchi za kiarabu wala hatulishangai sana maana huko nako mjue yapo makanisa na kuna waarabu wakristu...
Nakumbuka mfalme wa Oman hayati Quabos miaka ya 2000 hapo alijenga kanisa na kulitia samani za gharama kubwa ndabi ili tu watu wake wote nchini mle tukiwemo sie ma expart tumwabudu mungu!
Ukaribu wa dini hizi ni mkubwa ukianzia Israel,Palestine,Iraq,Egypt,Siria,Lebanon...huko hutokea hata watu wa pande hizi mbili kuabudu pamoja
Kazi ipo kwetu huku kuanzia sudan kushuka chini
Halafu nikishauliza wa kunipa majibu huyohuyo mkristo aliyevunja?Uliza kwanini walivunja wakati ule na sasa unajengwa mwingine.
WaTz tujiongeze, tunaleta taarifa hata haisemi ni wapi?!Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Hapa rais wetu moendwa alidobanga,but nia yake ni njemaRais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Hizo aya zako za Quran watu wamezijua kabla mimba yako haijatungwa.Huna hoja!
كلب واحد
لكم دينكم وليدين.
Ujenzi wa msikiti umeshaanza huko Dodoma wewe endelea kumalizia kinyongo chako katika huu uzi.Huna hoja, nimekuwekea ulichokipost mwenyewe unaanza kuzua mengine!!
حنزير اسود [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Humo zimo hela za faida ya kuuza kitimoto, kuuza ulabu nk. Ni vizuri kuona hatubaguani siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Uanze usianze bado hauniongezei wala kunipunguzia kitu, imani inakaa ndani ya mtu na sala sio lazima kwenye jengo.Ujenzi wa msikiti umeshaanza huko Dodoma wewe endelea kumalizia kinyongo chako katika huu uzi.
Unapoteza muda kutunza kinyongo ndani ya nafsi yako wakati huna uwezo wa kubadilisha chochote katika maamuzi yanayofanywa na mtu wa ngazi ya rais.Uanze usianze bado hauniongezei wala kunipunguzia kitu, imani inakaa ndani ya mtu na sala sio lazima kwenye jengo.
Unasema nini?Unapoteza muda kutunza kinyongo ndani ya nafsi yako wakati huna uwezo wa kubadilisha chochote katika maamuzi yanayofanywa na mtu wa ngazi ya rais.
Tanzania ya sasa yote yanawezekana, imetokea na inashangiliwa na timu ya kusifu na kuabudu.Mchango wa ujenzi wa msikiti ukachangwe kanisani?how!!!!
Sijaelewa....au mleta mada ni typing error?weka nyama kidogo!
Nafikiri kitu kisichoeleweka na kufanya watu wajiulize maswali bila kupata majibu ni kitu gani kinamvutia Rais, Mkristo, kujihusisha na ujenzi wa Misikiti? Mfalume wa Moroko alipotembelea Tanzania kitu cha kwanza Rais wetu mpendwa kuomba ulikuwa Msikiti ukifuatiwa na Uwanja wa Mpira. Watu wengi walijiuliza kama hayo mawili ndo yalikuwa matatizo ya kipaumbele kwa Tanzania, Msikiti umejengwa na Uwanja unajengwa Chato, hakuna tatizo. Kitu kisicho cha kawaida alichofanya Rais, labda kwa utashi wake, ni kukusanya pesa kanisani na kukabithi kwa Waislam kujenga Msikiti bila ombi rasmi toka uongozi wa Wahitaji kwenda kwa Wafadhili. Hata maisha ya kila siku Mhitaji hupeleka ombi la msaada wowote kwa jirani ili atatue matatizo yake siyo jirani aone Mhitaji anahitaji nyama akapelekewa ya nguruwe kumbe jirani ni Muislam atatupa. Baada ya uongozi wa Msikiti jirani kuona umuhimu wa kujenga Msikiti mwingine mkubwa zaidi lakini watahitaji pesa zaidi kukamilisha kazi hiyo kwa hiyo wataomba msaada toka kwa waumini na majirani ikiwa ni pamoja na Makanisa ya karibi. Baada ya kupata ombi, kanisa lingeitisha harambee siku Rais yupo kanisani hata ateuliwe kuwa MC ili mchango uwe mkubwa ikiwa ni pamoja na toka Serikalinim.Kwa hili hakuna ubaya ni vile wa tz wengi exposure ni zero,kwa sie tulioishi nchi za kiarabu wala hatulishangai sana maana huko nako mjue yapo makanisa na kuna waarabu wakristu...
Nakumbuka mfalme wa Oman hayati Quabos miaka ya 2000 hapo alijenga kanisa na kulitia samani za gharama kubwa ndabi ili tu watu wake wote nchini mle tukiwemo sie ma expart tumwabudu mungu!
Ukaribu wa dini hizi ni mkubwa ukianzia Israel,Palestine,Iraq,Egypt,Siria,Lebanon...huko hutokea hata watu wa pande hizi mbili kuabudu pamoja
Kazi ipo kwetu huku kuanzia sudan kushuka chini