Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

Hao waliomshauri rais mpaka kufukiza hatua ya kujenga msikiti hapo Chamwino ni waislam kama wewe sasa usijidai wewe kuwa unaujua uislam kuliko wao.

Wasaidizi wa karibu kabisa wa Rais ni waislam na wanayo haki ya kuswali wakiwa eneo Lao la kazi.
Hawanaga kitu kichwani hao achana nao
 
Msikiti utakaojengwa na fedha huo wauiite msikiti wa Kitimoto (Nguruwe) kwa ufadhili wa Wogalatia wa Dodoma!
 
Unasema nini?
قَالَ: اتَّقِ اللَّهَ حَيْثُمَا كُنْتَ وأَتْبِعِ السَّيِّئَةَ الْحسنةَ تَمْحُهَا، وخَالقِ النَّاسَ بخُلُقٍ حَسَنٍ
Hahaha umekuja tena na aya za kitabu kitakatifu. Mkuu nenda kanywe maji ya baridi ili akili itulie.
 
Hivi kwa jambo hili la wakristol kuwa saidia waislamu kujenga msikiti.Je kwa waislamu itawezekana kweli kutoa hela ili ijengewa kanisa?
Haiwezekani kwa sababu sisi waislamu haturuhusiwi kuasidia ushirikina
Kanisani ibada zao ni za kumshirikisha Allah S W
Ambae hakuzaa wala hakuzaliwa wala Hana mshirika
 
Back
Top Bottom